Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Lewa na weweGodless Lema ni mlevi tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lewa na weweGodless Lema ni mlevi tu!
Hahaha[emoji23]Lewa na wewe
Kuna mambo siyo ya kuyaletea mzaha hata kidogo, Wengi yamewakuta na wengine wametwaliwa moja kwa moja kutokana na kile kinachoitwa ndoto anazooteshwa Godbless Lema iwe kwa kutamka hadharani au kutoa meseji kupitia akaunti yake ya twitter
Mwanzoni nilifikiri Godbless Lema anaangalia afya za wahusika yaani physical appearance na kuwatabiria Kifo na majanga, Hii ya kumuangalia mtu jinsi alivyo, anayoongea hata mimi nikiwa na umri wa utoto kabla ya kuanza kujihusisha na dhambi nilikuwa na uwezo wa kujua huyu ana shida na hata Chukua raundi ataondoka moja kwa moja yaani Kwaheri ya kuonana na Nilitamka kwa ndugu na hata wazazi waliona kama ninatisha tisha hivi lakini niliwaambia nimeota ndoto tu kuwa fulani ataondoka soon na yalitokea hivyo
Naongea haya kwa kuwa kuna wakati alimtabiri kiongozi wetu kifo na kusema ameoteshwa, Lema alikamatwa na kufungwa kwa mashtaka ya uchochezi lakini alipotoka jela bado alisema ndoto yake inajirudia rudia kuwa lazima huyo afe kama hajabadilika tabia
Godbless Lema Yeye haogopi anamwambia muhusika moja kwa moja kuwa yatamkuta matatizo mazito na Wengine anawaambia utakufa moja kwa moja, Nikiwaangalia baadhi naona hata afya zao zina mashaka makubwa sana
Uchawi ni sayansi kama sayansi zingine onyefu, Kuna baadhi ya watu wana maruani na viumbe vya kutisha wanatembea navyo huku wao wenyewe hawajijui ambavyo vinawapa nguvu kuona mambo ya hatari na yasiyoweza kuonekana kwa macho haya ya kawaida, Hawa wanapata taarifa ya msiba wako na ugonjwa wako kabla hata wewe huna dalili wala hujui lakini wao hufahamu na wanakuonea huruma
Utabiri upo karne na karne, Hata kwenye maandiko tunaambiwa kuna watu walikuwa na uwezo wa kusoma nyota na maandishi ya ajabu ajabu yasiyokuwa na maana lakini wao walitumia kutoa onyo au kutoa mawazo yao nini kinakwenda kutokea mfano wale Mama Jusi wa mashariki walipoona nyota tu wakahisi kuna kitu tofauti kabisa
Je anachofanya Godbless Lema ni uchawi au utabiri?
Kama ni utabiri kwanini utabiri wake unawakumba wale tu anaowatamkia uovu Wanaofanya na wala atabiri mambo ya Furaha kama mvua kunyesha vizuri na mengine mazuri
Kama ni sayansi ya uchawi kwanini tusimuombee aondokane na hayo maruani ya kutabiri vifo na mambo mabaya
Nimeanza kutishwa baada ya kuona Godbless Lema bado anawang'ang'ania watu fulani na mtu fulani kuwa ataondoka soon, Sasa ndoto hizi zinatufanya wana ccm kuanza kumuogopa maana akikutabiria unaweza ukapata presha kabla ya ndoto kutumia na watu wakatumia ndoto ya Lema kumbe tatizo ni Presha
Godless Lema ni mlevi tu!
Acha kujifanya hauelewi mambo bhana.Zungumza na ya mbowe dhidi ya chacha wangwe? Juzi juzi mbowe kafiwa na kaka yake kisha baba mdogo, je ni karma ya kumuudhi mungu?
Kifo cha sengodo Mvungi, Mwangosi nk enzi za awamu ya nne zilimfurahisha Huyo Mungu anayemsema?
Kifo ni lazima kwa kiumbe hai yoyote, acheni umbea na uoga.
Ndoto maonoKuna mambo siyo ya kuyaletea mzaha hata kidogo, Wengi yamewakuta na wengine wametwaliwa moja kwa moja kutokana na kile kinachoitwa ndoto anazooteshwa Godbless Lema iwe kwa kutamka hadharani au kutoa meseji kupitia akaunti yake ya twitter
Mwanzoni nilifikiri Godbless Lema anaangalia afya za wahusika yaani physical appearance na kuwatabiria Kifo na majanga, Hii ya kumuangalia mtu jinsi alivyo, anayoongea hata mimi nikiwa na umri wa utoto kabla ya kuanza kujihusisha na dhambi nilikuwa na uwezo wa kujua huyu ana shida na hata Chukua raundi ataondoka moja kwa moja yaani Kwaheri ya kuonana na Nilitamka kwa ndugu na hata wazazi waliona kama ninatisha tisha hivi lakini niliwaambia nimeota ndoto tu kuwa fulani ataondoka soon na yalitokea hivyo
Naongea haya kwa kuwa kuna wakati alimtabiri kiongozi wetu kifo na kusema ameoteshwa, Lema alikamatwa na kufungwa kwa mashtaka ya uchochezi lakini alipotoka jela bado alisema ndoto yake inajirudia rudia kuwa lazima huyo afe kama hajabadilika tabia
Godbless Lema Yeye haogopi anamwambia muhusika moja kwa moja kuwa yatamkuta matatizo mazito na Wengine anawaambia utakufa moja kwa moja, Nikiwaangalia baadhi naona hata afya zao zina mashaka makubwa sana
Uchawi ni sayansi kama sayansi zingine onyefu, Kuna baadhi ya watu wana maruani na viumbe vya kutisha wanatembea navyo huku wao wenyewe hawajijui ambavyo vinawapa nguvu kuona mambo ya hatari na yasiyoweza kuonekana kwa macho haya ya kawaida, Hawa wanapata taarifa ya msiba wako na ugonjwa wako kabla hata wewe huna dalili wala hujui lakini wao hufahamu na wanakuonea huruma
Utabiri upo karne na karne, Hata kwenye maandiko tunaambiwa kuna watu walikuwa na uwezo wa kusoma nyota na maandishi ya ajabu ajabu yasiyokuwa na maana lakini wao walitumia kutoa onyo au kutoa mawazo yao nini kinakwenda kutokea mfano wale Mama Jusi wa mashariki walipoona nyota tu wakahisi kuna kitu tofauti kabisa
Je anachofanya Godbless Lema ni uchawi au utabiri?
Kama ni utabiri kwanini utabiri wake unawakumba wale tu anaowatamkia uovu Wanaofanya na wala atabiri mambo ya Furaha kama mvua kunyesha vizuri na mengine mazuri
Kama ni sayansi ya uchawi kwanini tusimuombee aondokane na hayo maruani ya kutabiri vifo na mambo mabaya
Nimeanza kutishwa baada ya kuona Godbless Lema bado anawang'ang'ania watu fulani na mtu fulani kuwa ataondoka soon, Sasa ndoto hizi zinatufanya wana ccm kuanza kumuogopa maana akikutabiria unaweza ukapata presha kabla ya ndoto kutumia na watu wakatumia ndoto ya Lema kumbe tatizo ni Presha
Lema hana uchawi wowote wala nguvu yoyote kiroho, alicho nacho Lema anaweza akawa nacho mtu yoyote. Kwa mfano mtaani kwenu kuna kijana mwizi unaweza kumwambia kuwa kama hutaacha tabia yako ya wizi utakufa, hiyo siri au kwenye familia yenu kuna bint anabadirisha wanaume kila siku kitu unachoweza kumuambia ni kuacha hiyo tabia la sivyo atapata ukimwi. Kulikuwa na watu wenye kujua uchawi na ulozi kama Balaamu (Hesabu 22:5-13)Tunaana Balaamu pamoja ni mchawi lakini alikwa halogi hivi hivi bila kwanza kutumia makalama yake. Lakini Lema hana hizo kalama anacho angalia ni tabia ya mtu anakushauri kama mtu yoyote anavyo mshauri mtu muovu. Na pia unaweza ukamtabiria mazuri mtu yule ambaye unamuona anamwenendo mzuri.Kuna mambo siyo ya kuyaletea mzaha hata kidogo, Wengi yamewakuta na wengine wametwaliwa moja kwa moja kutokana na kile kinachoitwa ndoto anazooteshwa Godbless Lema iwe kwa kutamka hadharani au kutoa meseji kupitia akaunti yake ya twitter
Mwanzoni nilifikiri Godbless Lema anaangalia afya za wahusika yaani physical appearance na kuwatabiria Kifo na majanga, Hii ya kumuangalia mtu jinsi alivyo, anayoongea hata mimi nikiwa na umri wa utoto kabla ya kuanza kujihusisha na dhambi nilikuwa na uwezo wa kujua huyu ana shida na hata Chukua raundi ataondoka moja kwa moja yaani Kwaheri ya kuonana na Nilitamka kwa ndugu na hata wazazi waliona kama ninatisha tisha hivi lakini niliwaambia nimeota ndoto tu kuwa fulani ataondoka soon na yalitokea hivyo
Naongea haya kwa kuwa kuna wakati alimtabiri kiongozi wetu kifo na kusema ameoteshwa, Lema alikamatwa na kufungwa kwa mashtaka ya uchochezi lakini alipotoka jela bado alisema ndoto yake inajirudia rudia kuwa lazima huyo afe kama hajabadilika tabia
Godbless Lema Yeye haogopi anamwambia muhusika moja kwa moja kuwa yatamkuta matatizo mazito na Wengine anawaambia utakufa moja kwa moja, Nikiwaangalia baadhi naona hata afya zao zina mashaka makubwa sana
Uchawi ni sayansi kama sayansi zingine onyefu, Kuna baadhi ya watu wana maruani na viumbe vya kutisha wanatembea navyo huku wao wenyewe hawajijui ambavyo vinawapa nguvu kuona mambo ya hatari na yasiyoweza kuonekana kwa macho haya ya kawaida, Hawa wanapata taarifa ya msiba wako na ugonjwa wako kabla hata wewe huna dalili wala hujui lakini wao hufahamu na wanakuonea huruma
Utabiri upo karne na karne, Hata kwenye maandiko tunaambiwa kuna watu walikuwa na uwezo wa kusoma nyota na maandishi ya ajabu ajabu yasiyokuwa na maana lakini wao walitumia kutoa onyo au kutoa mawazo yao nini kinakwenda kutokea mfano wale Mama Jusi wa mashariki walipoona nyota tu wakahisi kuna kitu tofauti kabisa
Je anachofanya Godbless Lema ni uchawi au utabiri?
Kama ni utabiri kwanini utabiri wake unawakumba wale tu anaowatamkia uovu Wanaofanya na wala atabiri mambo ya Furaha kama mvua kunyesha vizuri na mengine mazuri
Kama ni sayansi ya uchawi kwanini tusimuombee aondokane na hayo maruani ya kutabiri vifo na mambo mabaya
Nimeanza kutishwa baada ya kuona Godbless Lema bado anawang'ang'ania watu fulani na mtu fulani kuwa ataondoka soon, Sasa ndoto hizi zinatufanya wana ccm kuanza kumuogopa maana akikutabiria unaweza ukapata presha kabla ya ndoto kutumia na watu wakatumia ndoto ya Lema kumbe tatizo ni Presha
Sidhani kama unajua ulichoandika!Hakuna utabiri wowote amewahi kuutoa huyo Lema.
Anachofanya ni KUWAOMBEA MABAYA tu WABAYA wake kwa kujifanya anawatahadhalisha.
Mfano Magu kafa kwa kudharau COVID-19 na siyo kwasababu eti kawadhibiti wapinzani.
Sabaya ni system imemtema nje baada ya aliyekuwa anamlinda kufa. Ila hata sasa anaweza kusamehewa na akarudi kawaida.
Ndugai kapishana tu na Rais na wala hakuna uadui huo mkubwa maana ataendelea kuwa spika mstaafu.