Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?

Unashindwa kuelewa kuwa kile unachokifanya chochote kiwe kibaya au kizuri kina malipo yake, sasa mwizi malipo yake unayajua
 
May Be He's Relying on Probability Concept.
 
Huu ndio ukweli wenyewe
 
Vyeti feki apewe mafao ya nini kwanza alitakiwa apelekwe mahakama kwa makosa ya udanganyifu
Kwanini hakupelekwa Mahakamani sasa mwenye cheti feki?

Kwa taarifa yako kama ungempeleka mwenye cheti feki Mahakamani, mshtakiwa wa pili angekuwa afisa utumishi aliyempokea. Hizo ndiyo double standards ambazo Mungu hakuzitaka
 
Kwahiyo aliondoka kwa COVID 19?
 
Hayo ya akina Wangwe na Mwangosi unayajuwa wewe. Ila hii ya Magufuli ni HASIRA za Mungu
 
utabiri wa sabaya umetimia.alimwambia magu sio mungu iko siku haya unayofanya utakuja kulipia hatimaye ubaya, yametimia sasa analipia ubaya wote aliofanya,yaani hapo ni ubaya kwa ubaya bwashe
 
We jamaa wewe umenifurahisha sana
 
Hata Mm natabiri. Watu wote humu hamtakuwepo 2150
 
Warusuni tu watawale nchi, CCM ipumzike japo kwa miaka 5 hayo yote hamtayasikia!
 
Kama lema anaombea mabaya na yanatokea kwanini wewe usiombeee mema kama kuombea rahisi. Angatabiri mzungu ungesikia wazungu balaa, wenye maono bado wapo.
 
Bado Job Ndungai hali tete huko hakojoi ni kujamba maji tu.
 
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…