Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?


Hajasema anatabiri kasema anaota. Tofauti ni kwamba kwenye ndogo huchagui wewe wewe ni mjumbe tu. Naona hapa ndiyo unajichanganya. Huwezi kuwa mchawi kwa kuota
 
Kutabiri ni jambo dogo. Nunua crystal ball.
Au hata ukiwa na glass ya maji,inatosha kuwa crystal ball.
Halafu?
Halafu,at twilight,chumbani kwako,with your back to a south wall, unatazama ndani ya crystal. Unavyoitama crystal,fog,ukungu itatokea kwenye crystal.
Be calm.
Then your soul will ejected,and you go down and see the future
 
Acha kujifanya hauelewi mambo bhana.

Utabiri ni elimu inayoonesha mambo flani kujiri karibuni ama katika mpangilio flani na kwa uhakika mambo hayo yakatimia kwa kufuata mpangilio wa utabiri huo.

Suala la kila mmojawetu kufa si suala la utabiri, ni suala la kikanuni?
 
Ndoto maono
 
God bless ameshatahadharisha sana hata Mimi mwenyewe Leo ghafla nijikuta nalopoka tu "siku zote historia hujirudia" naona
historia ya watu kutekwa na kuuwawa imejirudia.
Historia ya watu kushindwa kujaza fomu imejirudia.

Ninaimani historia ya historia pia itajirudia kama matendo ya kibinadamu hayatapewa nafasi,kwa nchi yetu ni wazoefu wa kuuguza kimya kimya,ni wazoefu wakutoa taarifa kinzani pia ni wazoefu wa kutanganza Vifo iwe mchana au usiku.
 
Lema hana uchawi wowote wala nguvu yoyote kiroho, alicho nacho Lema anaweza akawa nacho mtu yoyote. Kwa mfano mtaani kwenu kuna kijana mwizi unaweza kumwambia kuwa kama hutaacha tabia yako ya wizi utakufa, hiyo siri au kwenye familia yenu kuna bint anabadirisha wanaume kila siku kitu unachoweza kumuambia ni kuacha hiyo tabia la sivyo atapata ukimwi. Kulikuwa na watu wenye kujua uchawi na ulozi kama Balaamu (Hesabu 22:5-13)Tunaana Balaamu pamoja ni mchawi lakini alikwa halogi hivi hivi bila kwanza kutumia makalama yake. Lakini Lema hana hizo kalama anacho angalia ni tabia ya mtu anakushauri kama mtu yoyote anavyo mshauri mtu muovu. Na pia unaweza ukamtabiria mazuri mtu yule ambaye unamuona anamwenendo mzuri.
 
Sidhani kama unajua ulichoandika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…