East African
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 704
- 993
Nadhani ataenda kwa sababu yeye na malecela wamekuwa viongozi wa juu katika taifa letu na ni watu wanaofahamiana na si lazima wawe marafiki, hili la kwenda sababu wote wanatoka mkoa wa Dodoma hapa unaongelea ukabila Sasa. Na kama sababu ni ukabila Basi mwenyeji yeyote wa Dodoma ambaye hataenda mtaje ajadiliwe humu.Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela.
Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana.
Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeni wa Dodoma?
Acha tuone.
Kwani LAZIMA kwenda msibani ???!Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela.
Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana.
Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeni wa Dodoma?
Acha tuone.
Hivi kwa nini watu wa Dodoma wakipewa nafasi kubwa za uongozi huwa wanaboronga? Rejea ya Malechela na Ndugai.Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela.
Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana.
Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeni wa Dodoma?
Acha tuone.
Malecela aliwahi kuboronga Nini na wapi?Hivi kwa nini watu wa Dodoma wakipewa nafasi kubwa za uongozi huwa wanaboronga? Rejea ya Malechela na Ndugai.
Malechela hakuboronga.Hivi kwa nini watu wa Dodoma wakipewa nafasi kubwa za uongozi huwa wanaboronga? rejea ya Malechela na Ndugai.
Wala usiwahurumie wala kuwasikitikia kwani wamejitafutia wenyewe.Hakuna watu wanapitia wakati mgumu ktk nchi hii kama Ndugai, Bashiru, Makonda na Polepole.
Taja kabila au mkoa ambao viongozi wake hawajaborongaHivi kwa nini watu wa Dodoma wakipewa nafasi kubwa za uongozi huwa wanaboronga? Rejea ya Malechela na Ndugai.
Kama kuna kabila huwa silikubali ni watu wa dom, na bshati mbaya sana nimeoa dom bila kujuaMalechela hakuboronga.
Nyerere tu hakutaka kupotezewa legacy yake kwa gharama za Watanganyika na Wazanzibari.
Alikuwa anasimamia urejeshwaji wa Serikali ya Tanganyika ili kubalance Muungano.
Kwanini hamhoji Lowassa alipo kila siku Ndugai Ndugai tu?Mungu ampe nguvu afike ili kuondoka Hili wingu