Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

Hakuna watu wanapitia wakati mgumu ktk nchi hii kama Ndugai, Bashiru, Makonda na Polepole.

Kwanini Makonda, nahisi Logic yako inataka kumtaja JPM. Kumbuka makonda alishatolewa ukuu wa mkoa na huyo JPM. Polepole alipewa umbunge na ukatibu mwenezi ulishakuwa umeota mbawa. Bashiru hana Shida yoyote kubwa. Changamoto ya kutoka kwenye cheo wote wanaipata. Labda wewe mwenzetu una moyo wa jiwe.

Unajua kwa nini umeandika hivyo. Ni wewe unapata Shida. Sio wao. Mana nina uhakika hujui wanaishije. Ila kwa kuwa unachuki binafsi za kijinga Basi unataka kuhamisha Shida zako kwa wengine.
 
Huyu SUPIKA wa hovyo kabisa, amejificha wapi?
 
Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela.

Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana.

Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma?

Acha tuone.
Yuko mbali hawezi kuwahi msibani.... Atawakilishwa
 
Back
Top Bottom