Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

Najiuliza kwanini Job Ndugai ajaenda Msibani?Msiba upo Dodoma, ameshindwa kushiriki na wanafamilia hii? Au nafsi inamsuta alivyoshangilia kutumbuliwa Kwa Mwele?
Je unaambatane naye sehemu zote apitazo; au je unajua wote waliofika msibani hapo? Je ni lazima kila mtu aende?
 
Afadhali Ndugai hakuenda huko kwenye msiba kwani nimewaona WACHAWI wengi tu ambao walishangilia wakati Jiwe alipomtumbua marehemu nao wakishiriki!!
 
Hayo ni maisha binafsi ya bwana Job, kutoa pole au kutotoa pole ni utaratibu wake binafsi aliojiwekea....
 
Nadhani ameshapata funzo duniani hakuna rafiki. Wale jamaa walimsulubu utadhani hawakuwahi kunywa na kula nae meza moja.

Cheo kwa sasa hana bora atulie tu nafamilia yake huku akiendelea kuchoma vibunda vya mafao
 
Najiuliza kwanini Job Ndugai ajaenda Msibani?Msiba upo Dodoma, ameshindwa kushiriki na wanafamilia hii? Au nafsi inamsuta alivyoshangilia kutumbuliwa Kwa Mwele?
Ulitaka aende na wewe? Kwani kila aliyeenda alikutaarifu? Unajua viongozi wangapi walienda msibani ambao hawakukwambia?
Achana na akina Bashite wanaopenda misifa kupiga picha na sanitizer.
 
Kicking the horse while it’s down, mmeshamfurumusha na Mabunduki, Mungu tu ndiye anayejua mlichomfanyia bado tu haitoshi ? Ameenda kama mlivyotaka lkn bado tu mnafwata ? Kama ni Bunge kawaachia, kila kitu hata kuongea pia kawaachia na haiwatoshelezi tu ?
What do you evil people want from the man ?
 
Dhambi za kutesa upinzani, malipo ni hapa hapa duniani. Alimwambia Hangaya amemlipa Lissu yake yote.
Sasa dhambi iko wapi? Kwani ndugai ni mwanafamilia wa malecela? Huyo lissu wenu mmesema amekuwa mwanafamilia wa mbowe, maana tundu alikuwa hakubaliki chadema Hadi apewe uchaga?
 
Back
Top Bottom