Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Kwani amerudi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona umemsahau chidi?Hakuna watu wanapitia wakati mgumu ktk nchi hii kama Ndugai, Bashiru, Makonda na Polepole.
Kwani bado yupo hai??Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela.
Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana.
Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma?
Acha tuone.
mpe talaka, acha kulialia humu.Kama kuna kabila huwa silikubali ni watu wa dom, na bshati mbaya sana nimeoa dom bila kujua
Kingwangalla mbona umemsahau!! Alikuwa mtu wa karibu sana wa Jiwe!!Hakuna watu wanapitia wakati mgumu ktk nchi hii kama Ndugai, Bashiru, Makonda na Polepole.
Nadhani ataenda kwa sababu yeye na malecela wamekuwa viongozi wa juu katika taifa letu na ni watu wanaofahamiana na si lazima wawe marafiki, hili la kwenda sababu wote wanatoka mkoa wa Dodoma hapa unaongelea ukabila Sasa. Na kama sababu ni ukabila Basi mwenyeji yeyote wa Dodoma ambaye hataenda mtaje ajadiliwe humu.
Ya kufanya nini?Mungu Ampe nguvu
Msiba haususiwi ataenda ila hatakaa vile viti vya mbele huyu tutakuwa nae huku nje nje kulinda magari ya wahudhuriajiNdg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela.
Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana.
Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma?
Acha tuone.
Ameoa mrangii hao Ni vichomii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]likuwaje uoe bila kujua mkuu lakin Dom kuna makabila 5 mkuu labda uliye is ni wa Dom lakini si wa Dom kati labda wa Dom kaskazini au kusini
Unaakili gani wewe zaidi yakuremba maelezo?? Unawekaweka maemoji yakiduanzi!!![emoji871]Ndugu tulia basi hata uandike vizuri!
[emoji871]Kama hata kupanga maandishi huwezi,akili si ndio huwezi kabisa kuitumia!
[emoji871]Acheni kufuatilia maisha ya watu kwa visasi vya siasa.
[emoji871]Tatizo Chadema kwenu siasa ni biashara.
[emoji871]Mtu akikaa kijiweni kwenye siasa inakuwa kama amefungiwa duka na TRA.
[emoji871]Hakuna sheria nzuri Duniani maana zote zinaishia kutoa adhabu.
[emoji871]
Achaneni na Mbunge milionea wa Kongwa kwa sasa.
Muacheni ale hela yake kwa amani.
Makonda kaenda kwa nin asiendeNdg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela.
Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana.
Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma?
Acha tuone.
Jifunze pia kuandika vizuri jina la huyo Mzee! Siyo Malechela× ni Malecela√ ! Vitoto vya 2000 vinadhani wanaoandika Malecela wanakosea!Malechela hakuboronga.
Nyerere tu hakutaka kupotezewa legacy yake kwa gharama za Watanganyika na Wazanzibari.
Alikuwa anasimamia urejeshwaji wa Serikali ya Tanganyika ili kubalance Muungano.
Tumwater apumzikeSisi ni nani hadi tumpangie Ndugai vitu vya kufanya...
Kwamba atoke urusi aje mvumi kwenye MSIBA!! basi sawa.Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela.
Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana.
Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma?
Acha tuone.
Yupo ulayaNajiuliza kwanini Job Ndugai ajaenda Msibani?Msiba upo Dodoma, ameshindwa kushiriki na wanafamilia hii? Au nafsi inamsuta alivyoshangilia kutumbuliwa Kwa Mwele?