Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

Kuwa Mchagga ni dhambi?

Hivi hamuwezi kajadili jambo bila kutaja Wachagga?
Kuwa mchaga siyo dhambi, lissu kuwa siyo mchaga kwani ni dhambi Hadi apewe uana family wa Mbowe ndo akubalike chadema?
Mbona mbowe hajapewa uana family wa lissu?
 
Kuwa mchaga siyo dhambi, lissu kuwa siyo mchaga kwani ni dhambi Hadi apewe uana family wa Mbowe ndo akubalike chadema?
Mbona mbowe hajapewa uana family wa lissu?
Kwani Mbowe kupewa unafamilia wa Lissu ni lazima?
 
Tusichanganye mambo hapa...mtumishi akifanya kosa anawekwa pembeni mara moja.huwezi kuondolewa bila kufanya makosa.afya ni usalama wa nchi.Nenda popote duniani hata Marekani .
 
Najiuliza kwanini Job Ndugai ajaenda Msibani?Msiba upo Dodoma, ameshindwa kushiriki na wanafamilia hii? Au nafsi inamsuta alivyoshangilia kutumbuliwa Kwa Mwele?
Huwajui ccm wewe! Nafsi iwasute? Kwanza hawana nafsi hao huyo hajaenda kwakuwa bado haamini kilichomtokea maana kutoka kwenye ubabe hadi kudhihakiwa na katibu wa ccm wa kitongoji huko njombe na hawezi kumfanya chochote sio swala dogo
 
Kwanini ni lazima aende? . Shida yenu mnataka kumuona au kusikia akisema chochote. Hamna lolote mnajifanya mnajali sana Mwele kumbe mnaajenda yenu.

Halafu Ndugai si ndugu yako ulishindwa kumpigia simu kumuuliza?

Acha utoto!
 
Just check Instagram ya mange kuna clip inatembea waweza ona unayemtafuta
 
Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela.

Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana.

Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma?

Acha tuone.
Haituhusu.
 
Utakuwa umepigwa na kitu kizito Agwee.
Sio Kwa povu Hilo bila Shaka utakuwa wa Mkoka au Mbandee
Uhuni,wivu na kukosa kazi.

Yule mtu ni Wa viwango vingine tofauti na nyinyi wapika Sumu wa humu JF na CDM.

Nyinyi sio sehemu ya utawala wa bunge ili kuwapa fursa ya kujua excuse za wabunge.

Ni spika wa bunge kupitia katibu wa Bunge ndio wenye mamlaka hayo.

Nyinyi mnakaa kuwashwa washwa tu.
Mambo yasiyowasaidia hata punje ya mkate.

Mkipewa ukweli mnaleta lugha za ki-***ga ***ga humu
 
Unaakili gani wewe zaidi yakuremba maelezo?? Unawekaweka maemoji yakiduanzi!!!
Huyo naniiyako nimbunge na analipwa mshahara...
kama amekwambia hataki kuulizwa mwambie ajiuzulu ubunge mkapumzike vyema!!!
Anashikilia jimbo huku haendi kazini wakati enzizake alituhumu sana watu kwa utoro nawengine akafukuza!!
Usitetee upuuzi shabiki andazi mwambie aende kazini angepumzika baada ya vikao!!!
Tamaa mbele.....kaponzeka!!!
Ni spika wa Bunge pekee mwenye mamlaka ya kuhoji kuhusu hilo.

Wewe ni ka mtu ka pembeni sana.
Pambania hali yako achana na kuharibu ka-bundle uchwara kako kwa kuhoji ujinga.

Wewe unaweka **ko kuandika huku hujui kule bungeni ametoa udhuru gani.

Watu wa Kongwa wana imani nae na pia watakuwa wamesikitika nae.

Nyinyi kaeni na machungu ya vijiwe mpaka hiyo 2030.
Maana hata 2025 siwaoni kivilee.

Isitoshe Ndugai kwa sasa hana njaa kabisa.
 
Duuuuh..
Kwani wadau mnashida gani na Ndugai???
Kimsingi kachemsha kajitambua kama kachemsha kaamua kuachia ngazi..
Approach alohiari kuitumia ni very common; kwamba anaona aibu kutokea hadharani anasubiri papoe kidogo.
Kwa hiyo atapotea kidogo mkisahau au yeye akizoea atatokea tena hadharani
So what..!!!??
Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela.

Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana.

Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma?

Acha tuone.
 
Nakumbuka Malechela aliandika record nadhani alikuwa miongoni mwa watu wa kwanza kwenda kuonana na moja ya marais wa SA kuzungumzia ubaguzi wa rangi not sure though yule Rais alikuwa nani
 
Ni spika wa Bunge pekee mwenye mamlaka ya kuhoji kuhusu hilo.

Wewe ni ka mtu ka pembeni sana.
Pambania hali yako achana na kuharibu ka-bundle uchwara kako kwa kuhoji ujinga.

Wewe unaweka **ko kuandika huku hujui kule bungeni ametoa udhuru gani.

Watu wa Kongwa wana imani nae na pia watakuwa wamesikitika nae.

Nyinyi kaeni na machungu ya vijiwe mpaka hiyo 2030.
Maana hata 2025 siwaoni kivilee.

Isitoshe Ndugai kwa sasa hana njaa kabisa.
We fwala kodiyangu inalipa wabunge ninahaki yakuhoji ninayemlipa asipoenda kazini!!
Wewe ndiyo wajua spika tuu ndio mwenyehaki yakuhoji mimi siamini hivyo so tuliza kawoww kako kalaini ninapohoji!
Awe nanjaa au asiwe nayo hiyo hainihusu nachotaka afanye kazi asipumzike hovyohovo kisa matamaa yake yakiboya, we are paying him alot!!!
 
Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela.

Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana.

Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma?

Acha tuone.
Aboud Jumbe baada yakuwekwa kizuizini Kigamboni aliruhusiwa kuhudhuria misiba ?
 
Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela.

Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana.

Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma?

Acha tuone.
Ndugai hayupo msibani.
 
Back
Top Bottom