[emoji871]Kwa hiyo wewe kitu ulichoona cha muhimu kwako leo asubuhi... asubuhi ni kufuatilia maisha binafsi ya Ndugai?
[emoji871]Kwa nini usingeutumia muda wako kuwahi kanisani au msikitini kufanya toba?
[emoji871]Wewe binafsi kuna chochote unachomdai Ndugai?
[emoji871]Watu kama wewe ndio wamejazana huko chadema mmekaa na Roho mbaya mpaka mnakosa usingizi.
[emoji871]Je wewe binafsi ungepitia aliyopitia Ndugai.
Ungeacha kujipa mapumziko?
[emoji871]Mumemuandama sana Ndugai na amewaachia Uspika wenu, sasa mnawashwa washwa nini na kutokuonekana kwake?
[emoji871]Mnatuchosha kwa ujinga wenu.
[emoji871]Pambaneni na hali zenu mhudumie jamii zenu.mambo ya fulani kala nini,kanya choo gani ni umbea umbea usio na tija.
[emoji871]Akheri hiyo hela ya bundle ungeitumia kununua mkate wa wanao ili wanywee chai asubuhi.
Kuliko kumfuatilia mbunge na milionea wa Kongwa.