Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Lowassa alikuwa mgogo? Aliiba na akajiuzuluHivi kwa nini watu wa Dodoma wakipewa nafasi kubwa za uongozi huwa wanaboronga? Rejea ya Malechela na Ndugai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lowassa alikuwa mgogo? Aliiba na akajiuzuluHivi kwa nini watu wa Dodoma wakipewa nafasi kubwa za uongozi huwa wanaboronga? Rejea ya Malechela na Ndugai.
Chukia mtu kwa tabia zake si kwa sifa za watu wa mkoani kwao. Kwanini huwakubali watu wa Dom?Kama kuna kabila huwa silikubali ni watu wa dom, na bshati mbaya sana nimeoa dom bila kujua
Ni mambo ya kawaida kwenye siasa, hata awamu ya tano kuna watu walipitia maisha magumu kuliko wao sasa hivi.Hakuna watu wanapitia wakati mgumu ktk nchi hii kama Ndugai, Bashiru, Makonda na Polepole.
Mke wake anafanya mishe gani mkuuMcheki mkewake umuulize...
[emoji871]Kwa hiyo wewe kitu ulichoona cha muhimu kwako leo asubuhi... asubuhi ni kufuatilia maisha binafsi ya Ndugai?Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela.
Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana.
Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma?
Acha tuone.
MAKONDA mtoeHakuna watu wanapitia wakati mgumu ktk nchi hii kama Ndugai, Bashiru, Makonda na Polepole.
Ulipoihusisha chadema ndoulipoonesha nawewe nimnaa kinaa tuu...[emoji871]Kwa hiyo wewe kitu ulichoona cha muhimu kwako leo asubuhi... asubuhi ni kufuatilia maisha binafsi ya Ndugai?
[emoji871]Kwa nini usingeutumia muda wako kuwahi kanisani au msikitini kufanya toba?
[emoji871]Wewe binafsi kuna chochote unachomdai Ndugai?
[emoji871]Watu kama wewe ndio wamejazana huko chadema mmekaa na Roho mbaya mpaka mnakosa usingizi.
[emoji871]Je wewe binafsi ungepitia aliyopitia Ndugai.
Ungeacha kujipa mapumziko?
[emoji871]Mumemuandama sana Ndugai na amewaachia Uspika wenu, sasa mnawashwa washwa nini na kutokuonekana kwake?
[emoji871]Mnatuchosha kwa ujinga wenu.
[emoji871]Pambaneni na hali zenu mhudumie jamii zenu.mambo ya fulani kala nini,kanya choo gani ni umbea umbea usio na tija.
[emoji871]Akheri hiyo hela ya bundle ungeitumia kununua mkate wa wanao ili wanywee chai asubuhi.
Kuliko kumfuatilia mbunge na milionea wa Kongwa.
Tatizo ni kwamba kuna reference; Job Lusinde, Juma Nkamia, Ndugai na wengineo. Matamshi yao yalijaa ukakasi.Chukia mtu kwa tabia zake si kwa sifa za watu wa mkoani kwao. Kwanini huwakubali watu wa Dom?
Hakuna watu wanapitia wakati mgumu ktk nchi hii kama Ndugai, Bashiru, Makonda na Polepole.
Mkuu nijadilini mimi siendi kwasababu ya ubovu ulio kithiri wa barabaraNadhani ataenda kwa sababu yeye na malecela wamekuwa viongozi wa juu katika taifa letu na ni watu wanaofahamiana na si lazima wawe marafiki, hili la kwenda sababu wote wanatoka mkoa wa Dodoma hapa unaongelea ukabila Sasa. Na kama sababu ni ukabila Basi mwenyeji yeyote wa Dodoma ambaye hataenda mtaje ajadiliwe humu.
Hilo neno la "kuwashwa washwa" umelitohowa kwa nani?[emoji871]Kwa hiyo wewe kitu ulichoona cha muhimu kwako leo asubuhi... asubuhi ni kufuatilia maisha binafsi ya Ndugai?
[emoji871]Kwa nini usingeutumia muda wako kuwahi kanisani au msikitini kufanya toba?
[emoji871]Wewe binafsi kuna chochote unachomdai Ndugai?
[emoji871]Watu kama wewe ndio wamejazana huko chadema mmekaa na Roho mbaya mpaka mnakosa usingizi.
[emoji871]Je wewe binafsi ungepitia aliyopitia Ndugai.
Ungeacha kujipa mapumziko?
[emoji871]Mumemuandama sana Ndugai na amewaachia Uspika wenu, sasa mnawashwa washwa nini na kutokuonekana kwake?
[emoji871]Mnatuchosha kwa ujinga wenu.
[emoji871]Pambaneni na hali zenu mhudumie jamii zenu.mambo ya fulani kala nini,kanya choo gani ni umbea umbea usio na tija.
[emoji871]Akheri hiyo hela ya bundle ungeitumia kununua mkate wa wanao ili wanywee chai asubuhi.
Kuliko kumfuatilia mbunge na milionea wa Kongwa.
Amelegea mno hawezi kwenda. Unajua Ndugai ni dhaifu mno. Mama alipuliza kidogo tu…. hiyo… chali!Malecela aliwahi kuboronga Nini na wapi?
Lowassa alikuwa mgogo? Aliiba na akajiuzulu
Sasa Mbowe na Lissu wana nini cha kupoteza.!??Unamsahau vipi Mbowe? Lissu je? Sabaya?
Ukija huku chini kuna watu hata kula yao si ya uhakika, kuna watu wanaumwa ila hawawezi mudu gharama za matibabu hivyo mtu anasubiri miujiza....
Kuna graduates mwaka wa tano huu hawana ajira na mishe mtaani hazisomi....
Ndugu, Bashiru na Polepole washakubaliana na hali, na ubunge sio cheo kidogo.
🤣🤣🤣likuwaje uoe bila kujua mkuu lakin Dom kuna makabila 5 mkuu labda uliye is ni wa Dom lakini si wa Dom kati labda wa Dom kaskazini au kusiniKama kuna kabila huwa silikubali ni watu wa dom, na bshati mbaya sana nimeoa dom bila kujua
[emoji871]Ndugu tulia basi hata uandike vizuri!Ulipoihusisha chadema ndoulipoonesha nawewe nimnaa kinaa tuu...
Ccm kibao hawampendi nduguyai...
alafu anapumzika nini?
Kwasheria zaujinga alizopitisha kibabe?
Au kuandama watu kuwafukuza kazi na kutisha watu!!
Kwakazigani yamaana kwa taifa aliyofanya mpaka akapumzike? alopitia hayamtoshi yeye alipitisha watu kwenyemagumu zaidi!!! Tunamtakia shida na njaa huko aliko
Pole sana Mkuu.Kama kuna kabila huwa silikubali ni watu wa dom, na bshati mbaya sana nimeoa dom bila kujua
Uwezo wako wa kufikiria na akili yako havijai kijiko cha chai.Hivi kwa nini watu wa Dodoma wakipewa nafasi kubwa za uongozi huwa wanaboronga? Rejea ya Malechela na Ndugai.
Lakini kwa nini Ndugai aumie wakati wenzake aliwafanyia haya huku anachekelea? Ni wakati wake Sasa kujipima jinsi anavyoumia afikirie kumbe wengine waliumia hivi?Hivi unaweza kupitia alichopitia Ndugai kazini kwako na usiombe mapumziko hata ya mwezi mmoja? Utakufa