Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

Hakuna watu wanapitia wakati mgumu ktk nchi hii kama Ndugai, Bashiru, Makonda na Polepole.

Kwanini Makonda, nahisi Logic yako inataka kumtaja JPM. Kumbuka makonda alishatolewa ukuu wa mkoa na huyo JPM. Polepole alipewa umbunge na ukatibu mwenezi ulishakuwa umeota mbawa. Bashiru hana Shida yoyote kubwa. Changamoto ya kutoka kwenye cheo wote wanaipata. Labda wewe mwenzetu una moyo wa jiwe.

Unajua kwa nini umeandika hivyo. Ni wewe unapata Shida. Sio wao. Mana nina uhakika hujui wanaishije. Ila kwa kuwa unachuki binafsi za kijinga Basi unataka kuhamisha Shida zako kwa wengine.
 
Huyu SUPIKA wa hovyo kabisa, amejificha wapi?
 
Yuko mbali hawezi kuwahi msibani.... Atawakilishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…