Je, ni biashara ipi inalipa zaidi?

Je, ni biashara ipi inalipa zaidi?

Fanya biashara ya kuuza watu!
 
Restaurant, duka la nafaka na Bar

Nimegundua hiyo ya bar inalipa sana kwasasa, binafsi ndiyo najikusanya Mungu akinipa kibali nije nifungue hiyo ya Bar.
Nimeambiwa na washauri, nikipata location nzuri na nikaboresha mazingira naweza kulaza zaidi ya milioni 3 kwa siku.
 
Kuna restaurent
Saloon ya kike Na ya kiume
Duka la nguo
Na duka la nafaka
Bar
Na duka la mangi

Katika biashara hii ni ipi ambayo inalipa zaidi?
Nina wazo ila lipo tofaut na biashara ulizozitaja hapo[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Restaurant, duka la nafaka na Bar

Nimegundua hiyo ya bar inalipa sana kwasasa, binafsi ndiyo najikusanya Mungu akinipa kibali nije nifungue hiyo ya Bar.
Nimeambiwa na washauri, nikipata location nzuri na nikaboresha mazingira naweza kulaza zaidi ya milioni 3 kwa siku.
Kulaza mil 3 kwa siku !!! Mtaji unakuwa ni kiasi gani?
 
Restaurant, duka la nafaka na Bar

Nimegundua hiyo ya bar inalipa sana kwasasa, binafsi ndiyo najikusanya Mungu akinipa kibali nije nifungue hiyo ya Bar.
Nimeambiwa na washauri, nikipata location nzuri na nikaboresha mazingira naweza kulaza zaidi ya milioni 3 kwa siku.
Nafanya hii biashara ila faida kwa siku ni around 50k

Weekend 200k biashara ya baa inahitaji umakini mkubwa kuifanya;!!!
 
Restaurant, duka la nafaka na Bar

Nimegundua hiyo ya bar inalipa sana kwasasa, binafsi ndiyo najikusanya Mungu akinipa kibali nije nifungue hiyo ya Bar.
Nimeambiwa na washauri, nikipata location nzuri na nikaboresha mazingira naweza kulaza zaidi ya milioni 3 kwa siku.
Uwe mbunifu sana ili uwashike hao walevi kwa muda mrefu zaidi, vinginevyo biashara ya bar ndio ambayo inaongoza zaidi kwa kufa kifo kisichoeleweka.
 
Restaurant, duka la nafaka na Bar

Nimegundua hiyo ya bar inalipa sana kwasasa, binafsi ndiyo najikusanya Mungu akinipa kibali nije nifungue hiyo ya Bar.
Nimeambiwa na washauri, nikipata location nzuri na nikaboresha mazingira naweza kulaza zaidi ya milioni 3 kwa siku.
Kibali cha kulewesha watu hakitoki kwa Mungu
 
Back
Top Bottom