Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihiGo for duka la nafaka au restaurant, hayo ndio mahitaji ya raia ya lazima ya kila siku lazima uuze, cha msingi ni location.
Nina wazo ila lipo tofaut na biashara ulizozitaja hapo[emoji85][emoji85][emoji85]Kuna restaurent
Saloon ya kike Na ya kiume
Duka la nguo
Na duka la nafaka
Bar
Na duka la mangi
Katika biashara hii ni ipi ambayo inalipa zaidi?
Kulaza mil 3 kwa siku !!! Mtaji unakuwa ni kiasi gani?Restaurant, duka la nafaka na Bar
Nimegundua hiyo ya bar inalipa sana kwasasa, binafsi ndiyo najikusanya Mungu akinipa kibali nije nifungue hiyo ya Bar.
Nimeambiwa na washauri, nikipata location nzuri na nikaboresha mazingira naweza kulaza zaidi ya milioni 3 kwa siku.
na mimi nipo najiuliza hapaKulaza mil 3 kwa siku !!! Mtaji unakuwa ni kiasi gani?
Forex [emoji3]Kuna restaurent
Saloon ya kike Na ya kiume
Duka la nguo
Na duka la nafaka
Bar
Na duka la mangi
Katika biashara hii ni ipi ambayo inalipa zaidi?
Nafanya hii biashara ila faida kwa siku ni around 50kRestaurant, duka la nafaka na Bar
Nimegundua hiyo ya bar inalipa sana kwasasa, binafsi ndiyo najikusanya Mungu akinipa kibali nije nifungue hiyo ya Bar.
Nimeambiwa na washauri, nikipata location nzuri na nikaboresha mazingira naweza kulaza zaidi ya milioni 3 kwa siku.
Uwe mbunifu sana ili uwashike hao walevi kwa muda mrefu zaidi, vinginevyo biashara ya bar ndio ambayo inaongoza zaidi kwa kufa kifo kisichoeleweka.Restaurant, duka la nafaka na Bar
Nimegundua hiyo ya bar inalipa sana kwasasa, binafsi ndiyo najikusanya Mungu akinipa kibali nije nifungue hiyo ya Bar.
Nimeambiwa na washauri, nikipata location nzuri na nikaboresha mazingira naweza kulaza zaidi ya milioni 3 kwa siku.
Kulaza faida kubwa kwenye bar classic yenye wateja ni kawaida sana ila sio kila siku na haiwezi kuwa 3M labda 1M-2M, mara nyingi hutokea siku za weekend ambapo wateja hufurika kuanzia mchana.Kulaza mil 3 kwa siku !!! Mtaji unakuwa ni kiasi gani?
Kibali cha kulewesha watu hakitoki kwa MunguRestaurant, duka la nafaka na Bar