Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,464
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka juzi nilijenga nyumba ya kisasa ya room 4.kwa ajili ya kupangisha, Lakini nilipo maliza kuweka paa, pamoja na madirisha ya chuma na milango miwili ya mbele na nyuma.wazo la kufuga kuku wa nyama likawa limeingia kichwani..Nikaacha kumalizia nyumba Naendelea na ufugaji..Kupangisha nyumba biashara kichaa.Mimi hapana
Aga Khan na utajiri wooote ametapanya (diversify) utajiri wake afya (hospital), Benki, media (TV&Magazeti). Ss tunawaza kujenga vijumba (maana nyingi hazi-qualify hata kuitwa nyumba au apartments).
Ndo maana namshauri dada akae na manguli wa biashara asiegemee wazo moja kinachokufaa wewe siwezi mshauri mwingine ,mkinga anakuja mjini anafungua kiduka, hapangi nyumba anaishi humo humo na mkewe na mtoto mdogo badae anajenga ndo anahama hataki show off za kupanga ,nyumba yenyewe anajenga.Makini sana
Huyo mzee ni investor na wala sio mfanya biashara. Amepiga hela za masafa marefu
Sijajichanganya mkuu. Pesa niliyonunulia nyumba haikuwa kubwa sana kwa kuwa hakukuwa na dalali kabisa. Ni mtu tulifanya biashara akafuraji ndipo akaniambia anauza nyumba. Hivyo kama nilinunua bei nzuri na leo hii ni 20 times the original price je kwani nikipata now say 15 times the iriginal price siyo pesa ndefu?'Leo nikiuza ni pesa ndefu sema fixed assets kwa sasa kuuzika kwa bei nzuri ni mtihani'.
Umejichanganya kwny hio sentensi.
Sasa utamuuzia nani akupe hio pesa ndefu?
mkuu huyu ni mtu hai anakampuni inaitwa Taj...... watoto wa mjini washamjua ,kwa awamu hii kumwaga madetail usije mletea matatizo mzee wa watu ,elewa 1990-1999 ardhi dar hususani mbagala,kigamboni tegeta etc ilikuwa bwerere ,kuna jamaangu aliwahi nunua nyumba ya vyumba 3 2008 upande wa pili wa mlimani city kwa mil 22 ,leo hata akitaka 200 + anakamata ,ishu sio kununua nyumba unanunua strategicallyHujaeleza vizuri hizo Bilioni 8 alizipataje na akazitumia kufika hapo alipo. Umecomment kifupi hebu andika maelezo marefu ya kueleweka mkuu.