Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali la kizushi : Nyie mnaoona fahari kua mnapanga tu...hao wenye nyumba wenu wangekua na mawazo kama yenu ..mngekua mnaishi wapi?
Very wise advice, thats what one is suppose to do, the profit you earn yearly , take part of that profit and invest in things like rental houses and such, never ever use working capital from your bussiness to invest in things like homes or houses rental, make sure in such things you invest from your profits, which will not affect the operations of your biasharaMawazo yako ni sahihi sana tena makini sana. Haya mambo unaonekana unayaelewa sana hasa uliposema
Ushauri wangu wekeza kwenye nyumba pesa ambayo huna matumizi nayo yaani mtaji uliozidiki kwenye biashara yako na usiwekeze kwa matazamio ya kuvuna faida
Bei ninauzia ni 75 milion ipo barabara ya canosa shule ya sec kuelekea Roman Catholic churchYako inaukubwa gani embu tujadili kdg maana mm nimeamua kuibadiliaha matumizi yako vipi inaendaje kwa bei
Ina ikubwa gani ploti nadhani najua maeneo hayo nasali hapoBei ninauzia ni 75 milion ipo barabara ya canosa shule ya sec kuelekea Roman Catholic church
If you dont invest in research and development today, tomorow you will buy goods and services from those who do R&D today! yes thats where the problem with viwada is, you cant build viwada bila kwanza kuwa na good R&D,Uko sahihi
ndio maana watu walikosoa mpango wa baba jesca wakutaka kujenga uchumi wa viwanda bila maandalizi kimiundo mbinu, bila kuinvest kwenye R&D. Huwezi kujenga uchumi wa viwanda bila kuandaa requirements & prerequisites
Akili kubwa vs Akili kubwaKila mtu angejenga yake, wewe ungepangisha nani?
Huyo ni wewe sasa. Unafikiri kila mtu anaweza kufanya kama wewe?Biashara Mil 100 ndogoo????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji33][emoji33][emoji33] Au unataka kuanzishaa viwandaa mkuuu.. Hio mil 100 naweza anzisha hata biashara zenye faida nzuri 3.
Mufuruki, Mosha, Mayo na wengineo ni Watanzania wekundu? Au unamaanisha kwenye ukoo wenu mkuu? Wapo Watanzania weusi wenye apartments mpaka nje ya Tanzania hata kama hatuwajui.Kuna Mtanzania mweusi wa kujenga Apartments Mikocheni (ukiacha Kimei)?
Uwekezaji wa majumba unawafaa zaidi watu waliokwisha fanikiwa tayari, hivyo hawana haraka na pesa tena, hii ndo eneo lisilo na stress. Ila kwa mtu anayeanza kutafuta maendeleo huu ni uwekezaji kichaa utakufa masikini.
Akili kubwa vs Akili kubwa
Utakufa vipi masikini wakati una nyumba? Au tafsiri yako ya umasikini ni ipi?Uwekezaji wa majumba unawafaa zaidi watu waliokwisha fanikiwa tayari, hivyo hawana haraka na pesa tena, hii ndo eneo lisilo na stress. Ila kwa mtu anayeanza kutafuta maendeleo huu ni uwekezaji kichaa utakufa masikini.