Je, ni busara kujenga nyumba kwa milioni 150 kisha kukusanya kodi laki 6 kwa mwezi?

Je, ni busara kujenga nyumba kwa milioni 150 kisha kukusanya kodi laki 6 kwa mwezi?

bonna, Huu ndo mchango bora kabisa kwenye huu uzi IMO.

Umeangalia hili swala critically.

Big up man..[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ngwanakilala,
Thanks a lot for this article, here lies the problem, LACK OF INNOVATION AND USE OF TECHNOLOGY . any bussiness that dont make the use of these 2 in a very serious and better way, that bussiness will be in the grave very very soon.

CREATIVITY IS THE KEY THING TODAY IN BUSSINESS, I am an enterprenuer who has travveled around the globe but i can tell you for free, if here in africa haswa in bongo kwetu we dont make use of these new ways of doing bussiness then tutakuwa kaburini, just google how much leading companies in this world spend in R&D, reasearch and development and you will see those that spend most on R&D are at the top, kina Amazon, google, apple, samsung facebook, name it,lack of innovation kills bussineses very fast, do you remeber kodak???? iko wapi sasa? be blessed for a very informative article.
 
Mawazo yako ni sahihi sana tena makini sana. Haya mambo unaonekana unayaelewa sana hasa uliposema

Ushauri wangu wekeza kwenye nyumba pesa ambayo huna matumizi nayo yaani mtaji uliozidiki kwenye biashara yako na usiwekeze kwa matazamio ya kuvuna faida
Very wise advice, thats what one is suppose to do, the profit you earn yearly , take part of that profit and invest in things like rental houses and such, never ever use working capital from your bussiness to invest in things like homes or houses rental, make sure in such things you invest from your profits, which will not affect the operations of your biashara
 
Yako inaukubwa gani embu tujadili kdg maana mm nimeamua kuibadiliaha matumizi yako vipi inaendaje kwa bei
Bei ninauzia ni 75 milion ipo barabara ya canosa shule ya sec kuelekea Roman Catholic church
 
NJOLO, Hpo nimekuelewa chief unamaanisha kama utajenga nyumba ya mil 150 inatakiwa uwe na bil 150 cash si ndyo?
 
THE SEAL,

Uko sahihi

ndio maana watu walikosoa mpango wa baba jesca wakutaka kujenga uchumi wa viwanda bila maandalizi kimiundo mbinu, bila kuinvest kwenye R&D. Huwezi kujenga uchumi wa viwanda bila kuandaa requirements & prerequisites
 
Uwekezaji wa majumba unawafaa zaidi watu waliokwisha fanikiwa tayari, hivyo hawana haraka na pesa tena, hii ndo eneo lisilo na stress. Ila kwa mtu anayeanza kutafuta maendeleo huu ni uwekezaji kichaa utakufa masikini.
 
TheGreatGenius,
Hiyo inflation kwa mtazamo wako iko kwenye real estate tu na haigusi hats kidogo aspects/activities zingine? Yaani biashara yenye cash 500k Leo baada ya miaka 5 zikiongezeka to 5000k kwa mawazo yako inflation haija chagiza. Sisi, vijana tunakwama wapi?
 
Uko sahihi

ndio maana watu walikosoa mpango wa baba jesca wakutaka kujenga uchumi wa viwanda bila maandalizi kimiundo mbinu, bila kuinvest kwenye R&D. Huwezi kujenga uchumi wa viwanda bila kuandaa requirements & prerequisites
If you dont invest in research and development today, tomorow you will buy goods and services from those who do R&D today! yes thats where the problem with viwada is, you cant build viwada bila kwanza kuwa na good R&D,
 
Biashara Mil 100 ndogoo????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji33][emoji33][emoji33] Au unataka kuanzishaa viwandaa mkuuu.. Hio mil 100 naweza anzisha hata biashara zenye faida nzuri 3.
Huyo ni wewe sasa. Unafikiri kila mtu anaweza kufanya kama wewe?
 
Simon999,
Mkuu inaonekana upo vizuri kidogo kwenye real estate financing n.k naomba kufahamu ni benki gani ambayo inatoa mikopo ya kujenga majengo ya kibiashara?nina nyumba ipo sinza ninataka kujenga appartments jengo lenye ghorofa 4 - 6.
 
Uwekezaji wa majumba unawafaa zaidi watu waliokwisha fanikiwa tayari, hivyo hawana haraka na pesa tena, hii ndo eneo lisilo na stress. Ila kwa mtu anayeanza kutafuta maendeleo huu ni uwekezaji kichaa utakufa masikini.

Kabisa boss
 
Utakufa vipi masikini wakati una nyumba? Au tafsiri yako ya umasikini ni ipi?
 
Back
Top Bottom