Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makadirio mkuu ya chini na ubora wa hio nyumba kwa Sasa maana ya muda sana hajaikarabatiwa na sisi tumeweka wapangaji tuna kula kodi tu1994-2020 = 15m-50m?
Nyumba sio biashara inayolipa sasa hivi. Hats ukijenga guest hamna wageni wa kulala. Unaweza kupata wageni 2 au 3 na gharma ya uendeshaji haipungui iko fixed. Guest nyingi zimefungwa au zinaendeshwa kwa hasara tupu. Japan wamefika mahali Serikali inawapa wananchi nyumba za bure .vizazi vimekuwa vikijenga tangu karne kadhaa sasa imefika mahali idadi ya nyumba imezidi watu. Ndio maana hata utajiri wa Trump hauongezeki kwa sababu biashara ya majengo aliachiwa na baba yake tena nyumba zake ni prime area kama k/koo au msasani lakini bado anasttuggle vijana zuckerburg wanatoboa kwa sababu ya nature ya biasjata inayoenda na kizazi husika.
hahahahaha umewaponda wabongo sanaWahindi hawaangaiki Kujenga mapagala Mapinga na Mbweni. Wanajibana nyumba za NHC/Msajili huku akaunti zimetuna. Mbongo anajenga squatter Buza kutwa kulalamika maisha magumu, anapeleka mtoto shule za kayumba mwishowe mtoto anakuja kuwa Mpiga debe, dereva wa daladala, kibarua viwanda vya wajindi au saidia Fundi
NIPE MM NIKUPE RIBA YA LAKI SITAMkuu yaani niweke 2M faida ni 20,450 per 6 Month? Duuh?
hamnazohahahahaha umewaponda wabongo sana
hata ukistaafu usidhani itakua rahisi kumbuka kuna maintenance costs, land rent, property tax etcNyumba ni biashara ya kustaafu ili kupata uhakika wa hela ya kula na si kupata profit.
ukiwa mpangaji milele kuna shida gani?Nyumba ya kuishi muhimu mana usijekuwa mpangaji milele...
Ila kwa ajili ya kujiongezea kipato ni bora kwa sasa kudeal na huduma zinazohitajika na kuingiza pesa walau kila siku mfano chakula na usafiri
Ndachuwa,
Only real estate and Government Bonds can do the rest is un sertain. Shares can depressiet from the primary or secondary value.
Mradi ukubali kunyanyasika kama umepanga nyumba ya waswahili!!!ukiwa mpangaji milele kuna shida gani?