Je, ni halali Daktari wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike?

Kwani ni halali daktari wa kike kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kiume???
Wanawake wengi hupenda kuchomwa sindano za matakoni au kuzalishwa na wanaume

Wanawake madaktari na manesi wanawake wajeuri kwa wanawake wenzao kuchoma sindano za matako wanachoma mbwa hata kuzalisha wakunga wa kiume wapole kuliko wakunga wanawake

Wanawake wengi waogo sindano ziwe za.matakoni au popote mchomaji akiwa mwanamke anafoka acha kudeka wa kiume anabembeleza itauma kidogo jikaze kidogo mama

Anayebisha aulize wanawake wenyewe
 
Sio kuchomwa Tu, wakiwa wajawazito wanapimwa ultrasound, huko wanatiwa mpaka madole kwenye uke, yaani mwanamke anapoenda clinic ya uzazi akiwa mjamzito huwa huko wanapimwa mengi. Alafu wanawake wanawapenda wanaume wawahudumie kuliko mwanamke mwezake
 
Ndio hapo sasa vijana wajinga sana hawa...11 dec 2022 mke wangu nampeleka labour pale muhi2 saa 8 usiku anapokelewa na Nurse wa kiume ..na akanambia yeye ndio atamuhudumia..Kiroho safi tu nikakaza..

Ila nimerud kwenye gari nilale kusogeza muda vimawazo vikanijia kwamba " mchiz nurse ndio vile tena " ๐Ÿ˜†
Utafanyaje sasa

Na asbuh tumeonana na jamaa nikam tip 15k
 
Yes usually male doctor will ask the female patient if he could do that..If the female patient ask for a female nurse to be present at the time..then the doctor have to obey the patient's request๐Ÿ’

But if the female patient said its alright not to have anyone around..then the doctor have the right to do that because a doctor is a certified doctor and he is allowed to do that๐Ÿ˜Š๐Ÿ‘‹
 
Mimi mtaalam wa huo upande (medical ethics ) ni hivi;

a) Mgonjwa ana haki ya kuchagua Dr gani amuhudumie ktk level zote za matibabu
b) The basic right is right to life.

Ktk mazingira yetu haki nyingine hazitekelezeki sababu ya ukosefu wa Wataalam na umaskini.

Hivyo chagua privacy ama kifo
 
Mimi mtaalam wa huo upande (medical ethics ) ni hivi;

a) Mgonjwa ana haki ya kuchagua Dr gani amuhudumie ktk level zote za matibabu
b) The basic right is right to life.

Ktk mazingira yetu haki nyingine hazitekelezeki sababu ya ukosefu wa Wataalam na umaskini.

Hivyo chagua privacy ama kifo
 
Hivi hakuna namna ya mgonjwa kuchomwa sindano amevaa au mshipa wa mkono tumalize hili la kutowanyanyapaa wenye wivu!
Waarab wamewezaje
 
Hebu fafanua jinsi hilo tukio la Tarime linavyohusiana na maudhui ya uzi wako.
 
Kama daktari yuko mmoja au hospital madaktari wote wa kiume anachaguaje mfano

Wamwache afe? Sababu fani ya udaktari ngumu wanawake wengi huikimbia
 
Kuna kilaza mwingine niliwahi kumsikia akisema, wanataka kuanzisha hospitali za "dini Yao" eti wanawake wao ni WA thamani sanawasitibiwe na watu wa Imani nyingine๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™† nikajiuliza Kuna Cha kuficha kwenye ugonjwa wakati unafanyiwa MATIBABU na mtu mwenye taaluma ya ugonjwa huo bila kujali Imani Wala jinsia yake?
 

Vizuri Mkuu umejibu fasaha, wachana na makanjanja wanaoropoka tu, kila jambo lina utaratibu wake.. ila exceptions pia zipo ila bado haiondoi haki ya msingi ya mteja/mgonjwa.
 
Kama wanazalisha na wanawake wanawapenda tofauti na wanawake sembuse kuchoma sindano?
 
Daktari au tabibu yeyote hana mipaka na kiungo chochote cha mwili cha jinsi yoyote ile, iwe ya kike au ya kiume maadamu kasomea na kufanyia mazoezi ya utabibu viungo husika vya mwili vya kike na kiume.

Daktari mwanaume anaufunua na kuutibu au kuufanyia upasuaji "uke" mchana kweupe, sembuse makalio ya mwanamke?! Ni vivyo hivyo daktari wa kike anaukarabati "uume" pasina hofu yoyote. Aidha, wauguzi wanaume wanawazalisha sana wanawake wajawazito. Kutibu hakuna ubaguzi wa kijinsia!
 
Mchome mwenyewe au kaishi na Taleban au Al Shabab

Kwa haya unayoongea ikitokea mkeo amezalishwa na daktari utajiskiaje!! Hivi unafuatilia OSMAN BAY kweli? wale wanaume unawafuatilia kweli au unafuatilia bongo movie mkuu?? Hivi inaingia akilini mwanamke/mkeo achomwe sindano na mwanaume? Kweli binadamu tunatofautiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ