Inasikitisha sanaRejea kichwa Cha taarifa, Azam kisimbusi wameitoa tbc 1 kwenye orodha ya free local channels, hakuna sababu zilizotolewa isipokuwa watu wanahisi ni sababu za kuonyesha kombe la Dunia, je, inaweza kuwa ndiyo sababu ya kisheria?
R.I.P MagufuliRejea kichwa Cha taarifa, Azam kisimbusi wameitoa tbc 1 kwenye orodha ya free local channels, hakuna sababu zilizotolewa isipokuwa watu wanahisi ni sababu za kuonyesha kombe la Dunia, je, inaweza kuwa ndiyo sababu ya kisheria?
Possibly wao TBC ndio wametaka waondolewe. Huwezi wewe kua unajua sheria kuliko wao walivyokubaliana kibiashara.Rejea kichwa Cha taarifa, Azam kisimbusi wameitoa tbc 1 kwenye orodha ya free local channels, hakuna sababu zilizotolewa isipokuwa watu wanahisi ni sababu za kuonyesha kombe la Dunia, je, inaweza kuwa ndiyo sababu ya kisheria?
Azam hajazuia ila DSTV ndio wamewazuia Azam kuonyesha hiyo michuano kupitia channel nyingine ambazo zinarusha hiyo michuano ambazo zipo kwenye king'amuzi.Ndio tatizo la kuwa na mtoa huduma mmoja alieshika soko. Azam kiukweli wapo "too arrogant" na wao hawajapata haki ya kurusha matangazo WC so far.
Wapigwe faini maana sheria ipo wazi.
Mimi ndio maana nilijiapanga kununua DSTV nalipa mwezi mzima Kucheki Super Sport mechi zote 64 maana nilijua kutakuwa na uswahili kitendo cha TBC na ZBC kupata haki ya kurusha mechi hizi.
Wametukatia umeme ili furaha yao iwe timilifu.No free lunch[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ninavyoandika hapa na tanesco wamekata umeme [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji38]