Je, ni halali kwa kisimbusi cha Azam kuiondoa TBC kwenye free local channels?

Azam ni host wa channel na kuna channel zimapata haki ya kuonyesha mpira toka huko huku MultuChoice sasa anawazuia vipi wakati hawana visimbusi?

Yeye Azam angepata hiyo haki kupitia moja ya chennel zake bado hana haki ya kuzuia wengine wasionyeshe walioko kwenye kisimbusi chake.
 
Kama hoja ni hiyo kwanini wamezuia tu kwa watu ambao hajalipua kingamuzi Cha AZAM, ila ambao wamelipia mechi zinaonekana
 
Nitajie Channel iliyopata host kutoka Multichoice?

Fifa wana offer television za taifa kuonyesha mechi bure na ndio maana DSTV hajampiga pini TBC.

Ila channel za taifa zinazo onyesha WC ,ukitoa TBC zote Azam kaziblock sababu ni hao DSTV.
 
unauhakika?
 
Kama hoja ni hiyo kwanini wamezuia tu kwa watu ambao hajalipua kingamuzi Cha AZAM, ila ambao wamelipia mechi zinaonekana
Hili sijalijua kwako ila nijuavyo mimi TBC ni free na hata mimi mwenyewe huaga naionaga endapo kama hujalipia.

Kwa sasa siwezi kuprove hiko sababu king'amuzi changu nimekilipia mwezi huu.
 
Yes, KBC siioni, Rwanda tv imekatwa, UBC Imekatwa. Nilikuwa naangalia kupitia TBC, TANESCO wamekata Umeme! Ninna king'amuzi cha azam na kifurushi cha afi 35.
 
Nitajie Channel iliyopata host kutoka Multichoice?

Fifa wana offer television za taifa kuonyesha mechi bure na ndio maana DSTV hajampiga pini TBC.

Ila channel za taifa zinazo onyesha WC ,ukitoa TBC zote Azam kaziblock sababu ni hao DSTV.
Sawa nimekusoma mkuu.
Pamoja sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…