Je, ni kawaida kwa mwanamke kukaa miezi 2 hadi 4 bila kupata hisia za kuwa na mwanaume?

Mkuu nieleweshe vizuri apa kwenye uzazi maana yapata mwaka moja na nusu sasa toka ajifungue
Nilishawah kukutana na kesi km hzo nyng na zote ni madawa ya uzazi wa mpango yanatoa hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke na mara zote ni mtu wa hasira.fanya utafit atakuwa anatumia dawa za uzaz wa mpango.na usipoangalia utavunja ndoa.muende kwa wataalamu wa masuala ya uzazi atawasaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…