Je, ni kawaida kwa mwanamke kukaa miezi 2 hadi 4 bila kupata hisia za kuwa na mwanaume?

Nataman niseme Siri moja ila kw Leo acha nipite tu

Ila kama anatumia njia za uzaz wa mpango Kuna moja ukitumia haina hisia kwenye suala la sex na hili limewakuta mengi

Ila kama sio hiyo basi Kuna siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…