marserino
Member
- Apr 30, 2024
- 33
- 60
Sawa na vipi ulipowasikiliza ulifanya kipi Cha kuwasaidia..? Mimi sioni Kuna maana yeyote ya kujaza medula oblangata kumbukumbu ya matukio ya watu waliyopitia kwenye maisha. Hiyo ni nonsense Tafuta sana pesa broo ili achana na hivyo vitu ni umbea maana hawajakuluhusu kusema mbele za watuAcha ujuaji wa kitoto. Ina maana wewe katika maisha yako haujawahi kusimuliwa na ukasikiliza tatizo la mtu yeyote huku na wewe ukiwa na matatizo yako? Who on earth hasn't come accross any challenges prompting him or her to seek relief from others?