Je, ni kitu gani ukikisahau nyumbani, hata ukishafika kazini lazima urudi ukakichukue?

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wakuu 🔊

Tumekuwa na siku tano za kazi… je, imeshawahi kukutokea ukasahau kitu nyumbani mpaka ukalazimika kurudi kukichukua kwa sababu bila hicho kitu huwezi kabisa kuendelea na kazi yako? 😅 Tuchambue hapa, tupige stori.

Mimi iliwahi kunitokea kusahau laptop nyumbani, bila hiyo siku nzima kazi ingesimama. Ilibidi nirudi haraka."

 
Simu
 

Uboho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…