Je, ni kitu gani ukikisahau nyumbani, hata ukishafika kazini lazima urudi ukakichukue?

Je, ni kitu gani ukikisahau nyumbani, hata ukishafika kazini lazima urudi ukakichukue?

Chuma
images - 2024-05-04T134656.799.jpeg
 
Kama wote mnaokoment huku mna kazi. Hizi changamoto za ajira zinatoka wapi. Au ndo mnataka tu kumpa presha Mama wa watu😂
 
Hirizi ninayovaaga mkononi kama makapteni wa kwenye mpira.
Bila hiyo hakuna kazi itaenda poa wakuu.
 
Kuna siku nikatoka nimesahau kuvaa kufuli, kufika barabarani nikakumbuka ikabidi nirudi kuvaa
 
Sasa kama mm mpiga debe, unadhani kuna cha kusahau?, nikikurupuka magetoni huyo mbele,,,, ! Uso nanawia huko huko Road,,,, !

#life
 
Mwiko na pasi . alafu muwe mnakuja na ndoo zenu za kukorogea zege
Sio mnakera kuazima ndoo alaf mnaziaribu
 
Back
Top Bottom