Je, ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Bro unaona mbali,nimejifunza kitu toka kwako.
 
Kivipi hebu niweke wazi.
Kwanza bado wanakuwa na mawasiliano na baba watoto zao kwa kigezo kuwa wanawasiliana khs mtoto,wengi wao ni watu waliotendwa so wanakuwa na frustration za maisha,,kwa upande wa watoto wao kuna baadhi wamekuja kuwa 'mwiba'kwa baba zao wa kambo.
 
Hapo nimekuelewa,ss unanishaurije????.
 
Seems umemzimia single mother,na unashindwa kuchomoka,pole sana ndo ukubwa huo.
Wacha wewe,cjazimika bado nipo kwenye upembuzi yakinifu,nikishindwa naleta mrejesho kwako,ila cjui kwanini napenda mke ambaye ni muuguzi ama mwalimu lakini bado,usinitafakari vibaya ila ninasababu za kuwapenda hawa watu wawili.
 
Ni watu wanaofanya kazi za wito zaidi,na ni walezi wazuri pia,hujakosea.
 
Jamani mimi ni kijana na nina ndoto ya kuja kuwa na familia,lakini ninachojiuliza ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto???????.
Kwanza kwanini unaoa? Kuoa hakuna faida yoyote iwe ni mwanamke mwenye mtoto au asiye na mtoto. Kwani unakosa nini mpaka uoe? Tafakari.
 
Kwanza kwanini unaoa? Kuoa hakuna faida yoyote iwe ni mwanamke mwenye mtoto au asiye na mtoto. Kwani unakosa nini mpaka uoe? Tafakari.
Unakosa heshima mbele ya jamii,km we mwanaume kweli beba jukumu la KUTUNZA mke na family, ndo utu uzima
 
Inaweza kuwa sahihi na pia inaweza isiwe sahihi mimi binafsi siwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto tayari kwa nilioyashuhudia yananifanya nifikie uamuzi huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…