Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kosa kubwa sawa na kumuua mama yakoJamani mimi ni kijana na nina ndoto ya kuja kuwa na familia,lakini ninachojiuliza ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto???????.
Bro unaona mbali,nimejifunza kitu toka kwako.Haina shida ila muhimu ujue kwa nini yuko single na ana mtoto?
Ama alikuwa macho juu juu akapigwa kitu shuleni
Ama alikuwa waya mkali kitaa akatumia papuchi ili mkono uende kinywani
Ama anapenda sana hii kitu hii/ yaani ndio furaha yake
Lakini kubwa zaidi kupata mimba ina maana alitoa mnofu yaani hakujali. Sasa vipi ndani ya ndoa asije kumpa mnofu muuza samaki, msugua kucha, muuza genge, dereva bodaboda..... Kwani wanawake wana akili basi!?
Kwanza bado wanakuwa na mawasiliano na baba watoto zao kwa kigezo kuwa wanawasiliana khs mtoto,wengi wao ni watu waliotendwa so wanakuwa na frustration za maisha,,kwa upande wa watoto wao kuna baadhi wamekuja kuwa 'mwiba'kwa baba zao wa kambo.Kivipi hebu niweke wazi.
Hapo nimekuelewa,ss unanishaurije????.Kwanza bado wanakuwa na mawasiliano na baba watoto zao kwa kigezo kuwa wanawasiliana khs mtoto,wengi wao ni watu waliotendwa so wanakuwa na frustration za maisha,,kwa upande wa watoto wao kuna baadhi wamekuja kuwa 'mwiba'kwa baba zao wa kambo.
Moyo wako ndiyo serikali yako,angalia ni nini unataka.Hapo nimekuelewa,ss unanishaurije????.
Seems umemzimia single mother,na unashindwa kuchomoka,pole sana ndo ukubwa huo.Ni kweli,lakini daaaaahhhhh
Wacha wewe,cjazimika bado nipo kwenye upembuzi yakinifu,nikishindwa naleta mrejesho kwako,ila cjui kwanini napenda mke ambaye ni muuguzi ama mwalimu lakini bado,usinitafakari vibaya ila ninasababu za kuwapenda hawa watu wawili.Seems umemzimia single mother,na unashindwa kuchomoka,pole sana ndo ukubwa huo.
Ni watu wanaofanya kazi za wito zaidi,na ni walezi wazuri pia,hujakosea.Wacha wewe,cjazimika bado nipo kwenye upembuzi yakinifu,nikishindwa naleta mrejesho kwako,ila cjui kwanini napenda mke ambaye ni muuguzi ama mwalimu lakini bado,usinitafakari vibaya ila ninasababu za kuwapenda hawa watu wawili.
Kwanza kwanini unaoa? Kuoa hakuna faida yoyote iwe ni mwanamke mwenye mtoto au asiye na mtoto. Kwani unakosa nini mpaka uoe? Tafakari.Jamani mimi ni kijana na nina ndoto ya kuja kuwa na familia,lakini ninachojiuliza ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto???????.
Unakosa heshima mbele ya jamii,km we mwanaume kweli beba jukumu la KUTUNZA mke na family, ndo utu uzimaKwanza kwanini unaoa? Kuoa hakuna faida yoyote iwe ni mwanamke mwenye mtoto au asiye na mtoto. Kwani unakosa nini mpaka uoe? Tafakari.