Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
Salaam wanagenzi na wakuu
Kuna baadhi ya watu wanajijua kabisa kuwa wameathirika na ugonjwa fulani wa zinaa, kama Upungufu wa kinga mwilini, kaswende, kisonono nk
Lakini kwa makusudi anajihusisha kimapenzi na watu mbalimbali, akitumia mbinu kama kusisitiza msitumie kinga mradi tu akuambukize.

- Hili suala lina adhabu zake kisheria?
- wanathibishaje ilikuwa makusudi?