Je, ni kosa kusambaza ugonjwa kwa makusudi, hasa magonjwa ya ngono?

Je, ni kosa kusambaza ugonjwa kwa makusudi, hasa magonjwa ya ngono?

Hasa magonjwa ya presha, unanitishia Utaniua kisa nimekuzulumu 15M
Hii ni rahisi maana kutishia mtu kwanza ni kosa RB yake unapata vizuri tu na kesi unafungua ishu ni kwenye kuambukizwa ngoma au magonjwa ya ngono
 
Kwamba huamini kuna mabinti wanasepa na kijiji kizima kwa makusudi anaona nisiende mwenyewe
the question is kwanini wew ukubali kupiga peku kwa mtu usiye mfahamu? kama una jipenda ulitakiwa uanze na hizo story za wew kwenda kupima au kutumia ndom
 
the question is kwanini wew ukubali kupiga peku kwa mtu usiye mfahamu? kama una jipenda ulitakiwa uanze na hizo story za wew kwenda kupima au kutumia ndom
Ni sawasawa na useme mtu alieshambuliwa na kisu, kwanini hakukimbia asichomwe kisu msubhati angalia pande zote tafadhali🥲
 
Nyege hazina mgonjwa wala mzima,umetongoza leo unataka uloweke leo,umepima lini magonjwa ya zinaa?
 
Ndio anaweza kushtakiwa kwa kosa hilo.
Hatua hii inatafsiriwa kisheria kuwa ni shambulio au unyanyasaji mkubwa dhidi ya haki za afya za binadamu.

Kwa mujibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwemo Sheria ya Kuzuia na Kudhibiti VVU na UKIMWI (Sura ya 431), mtu anayepatikana na hatia ya kuambukiza wengine kwa makusudi anaweza kuhukumiwa kifungo cha miaka mingi jela.
Kifungu kipi cha sura ya 431?
 
Huyo yuko kwenye mtanziko mkubwa na ni kama kachanginyikiwa na ana kisasi moyoni.. Wanaopaswa kuchukua tahadhari ni hao wazima
Hivyo akubaliane na matokea na aanze dozi badala ya kuanza shauri mahakamani
 
Back
Top Bottom