Je, ni kosa kusambaza ugonjwa kwa makusudi, hasa magonjwa ya ngono?

Je, ni kosa kusambaza ugonjwa kwa makusudi, hasa magonjwa ya ngono?

na wew kwanini usisitizwe na ukubali Kwani wew ni mtoto mdogo?,,, mkiniletea kesi kama hiyo nadeal na wew muambukizwaji maana uliyataka mwenyew
 
Sasa watunga sheria ni kina Baba levo, Tale tale, unategemea tutafika tunapotaka?
Sheria zetu nyingi hazijakaa sawa, mfano hata sheria ya ukimkatisha maisha mnyama unafungwa, lakini yeye mnyama akimmaliza mtu haina uzito sana wa muathirika kufanyiwa compensation
 
Sheria zetu nyingi hazijakaa sawa, mfano hata sheria ya ukimkatisha maisha mnyama unafungwa, lakini yeye mnyama akimmaliza mtu haina uzito sana wa muathirika kufanyiwa compensation
Mnyama ana thamani kuliko binadamu
 
na wew kwanini usisitizwe na ukubali Kwani wew ni mtoto mdogo?,,, mkiniletea kesi kama hiyo nadeal na wew muambukizwaji maana uliyataka mwenyew
Mfano muambukizwa akijitetea kuwa alilaghaiwa kuwa muambikazaji yuko sawa na kula tunda kimasihara bila mpira ndio tamu
 
Na ushahidi wake unapatikanaje kuthibitisha kwamba alikusudia kumuambukiza mtu kwa makusudi?maana anaweza akasema yeye japo ni muathirika ila ana haki ya kufurahia maisha ikiwa pamoja na kushirikiana na jamii kwenye kila jambo bila kunyanyapaliwa.
Ndio anaweza kushtakiwa kwa kosa hilo.
Hatua hii inatafsiriwa kisheria kuwa ni shambulio au unyanyasaji mkubwa dhidi ya haki za afya za binadamu.

Kwa mujibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwemo Sheria ya Kuzuia na Kudhibiti VVU na UKIMWI (Sura ya 431), mtu anayepatikana na hatia ya kuambukiza wengine kwa makusudi anaweza kuhukumiwa kifungo cha miaka mingi jela.
 
Anapaswa kuongea ukweli juu ya Hali yake
 
Tatizo ni MALICE - Nia Ovu, mtu mwenye nia ovu hata ukitumia kinga atafanya makusudi mpira upasuke au njia zingine ili atimize lengo. Hii bado unaona ni sawa?
Sijawa na ufahamu juu ya hiyo sheria. Ila mi naona hata akishtakiwa hakuna maana as long mambo yamekuharibikia
 
Salaam wanagenzi na wakuu

Kuna baadhi ya watu wanajijua kabisa
kuwa wameathirika na ugonjwa fulani wa zinaa, kama Upungufu wa kinga mwilini, kaswende, kisonono nk

Lakini kwa makusudi anajihusisha kimapenzi na watu mbalimbali, akitumia mbinu kama kusisitiza msitumie kinga mradi tu akuambukize.

  • Hili suala lina adhabu zake kisheria?
  • wanathibishaje ilikuwa makusudi?
CC: Rejea kitabu cha ORODHA
Hasa magonjwa ya presha, unanitishia Utaniua kisa nimekuzulumu 15M
 
Wenye uelewa na wahenga wa jukwaa mlete busara zenu
Binti wa zamani
Bujibuji Simba Nyamaume
Mshana Jr
ShesRise_1
min -me
Hawa wote uliowa tag watakujibu kwa uzoefu tu wa jf ila hamna mwanasheria hapo
Screenshot_20260720-140201~2.jpg
Screenshot_20260720-140204~2.jpg
 
una masihala yani mtu mzima unalaghaiwaje tena kwenye sex? ni upuuzi wa hali ya juu
Binadamu anaweza kulaghaiwa haijalishi ni mtu mzima au kipande, ukishacheza na psychology yake tayari plus mambo ya upwiru si unayaelewa kabisa msubhati
 
Ndio anaweza kushtakiwa kwa kosa hilo.
Hatua hii inatafsiriwa kisheria kuwa ni shambulio au unyanyasaji mkubwa dhidi ya haki za afya za binadamu.

Kwa mujibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwemo Sheria ya Kuzuia na Kudhibiti VVU na UKIMWI (Sura ya 431), mtu anayepatikana na hatia ya kuambukiza wengine kwa makusudi anaweza kuhukumiwa kifungo cha miaka mingi jela.
Asante sana mkuu.
 
Back
Top Bottom