Faida ipi mkuu na umeungua? Jukumu la kulinda afya yako ni lako, sio la mtu mwingine.Nimeuliza kwa faida ya wengine mkuu usiassume mambo jadili mada
Kula mbeguNgoja nikuache kaka maana sio mwelewa kabisa, jadili mada umehimia kunijadili
Tatizo ni MALICE - Nia Ovu, mtu mwenye nia ovu hata ukitumia kinga atafanya makusudi mpira upasuke au njia zingine ili atimize lengo. Hii bado unaona ni sawa?Faida ipi mkuu na umeungua? Jukumu la kulinda afya yako ni lako, sio la mtu mwingine.
Inakuaje unashiriki ngono zembe?
Kuna mtu mtaani kwenu kawa msumbufu?Hapana ni swali nimeuliza
Sasa watunga sheria ni kina Baba levo, Tale tale, unategemea tutafika tunapotaka?Sisi kila jambo tupo nyuma sana, nadhani wengi wanaumia kwa kutokuwepo utaratibu mzuri wa kulishughulikia