Je, ni kosa kusambaza ugonjwa kwa makusudi, hasa magonjwa ya ngono?

na wew kwanini usisitizwe na ukubali Kwani wew ni mtoto mdogo?,,, mkiniletea kesi kama hiyo nadeal na wew muambukizwaji maana uliyataka mwenyew
 
Sasa watunga sheria ni kina Baba levo, Tale tale, unategemea tutafika tunapotaka?
Sheria zetu nyingi hazijakaa sawa, mfano hata sheria ya ukimkatisha maisha mnyama unafungwa, lakini yeye mnyama akimmaliza mtu haina uzito sana wa muathirika kufanyiwa compensation
 
Sheria zetu nyingi hazijakaa sawa, mfano hata sheria ya ukimkatisha maisha mnyama unafungwa, lakini yeye mnyama akimmaliza mtu haina uzito sana wa muathirika kufanyiwa compensation
Mnyama ana thamani kuliko binadamu
 
na wew kwanini usisitizwe na ukubali Kwani wew ni mtoto mdogo?,,, mkiniletea kesi kama hiyo nadeal na wew muambukizwaji maana uliyataka mwenyew
Mfano muambukizwa akijitetea kuwa alilaghaiwa kuwa muambikazaji yuko sawa na kula tunda kimasihara bila mpira ndio tamu
 
Na ushahidi wake unapatikanaje kuthibitisha kwamba alikusudia kumuambukiza mtu kwa makusudi?maana anaweza akasema yeye japo ni muathirika ila ana haki ya kufurahia maisha ikiwa pamoja na kushirikiana na jamii kwenye kila jambo bila kunyanyapaliwa.
 
Anapaswa kuongea ukweli juu ya Hali yake
 
Tatizo ni MALICE - Nia Ovu, mtu mwenye nia ovu hata ukitumia kinga atafanya makusudi mpira upasuke au njia zingine ili atimize lengo. Hii bado unaona ni sawa?
Sijawa na ufahamu juu ya hiyo sheria. Ila mi naona hata akishtakiwa hakuna maana as long mambo yamekuharibikia
 
Hasa magonjwa ya presha, unanitishia Utaniua kisa nimekuzulumu 15M
 
una masihala yani mtu mzima unalaghaiwaje tena kwenye sex? ni upuuzi wa hali ya juu
Binadamu anaweza kulaghaiwa haijalishi ni mtu mzima au kipande, ukishacheza na psychology yake tayari plus mambo ya upwiru si unayaelewa kabisa msubhati
 
Asante sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…