Je, ni kosa kusambaza ugonjwa kwa makusudi, hasa magonjwa ya ngono?

Hasa magonjwa ya presha, unanitishia Utaniua kisa nimekuzulumu 15M
Hii ni rahisi maana kutishia mtu kwanza ni kosa RB yake unapata vizuri tu na kesi unafungua ishu ni kwenye kuambukizwa ngoma au magonjwa ya ngono
 
Kwamba huamini kuna mabinti wanasepa na kijiji kizima kwa makusudi anaona nisiende mwenyewe
the question is kwanini wew ukubali kupiga peku kwa mtu usiye mfahamu? kama una jipenda ulitakiwa uanze na hizo story za wew kwenda kupima au kutumia ndom
 
the question is kwanini wew ukubali kupiga peku kwa mtu usiye mfahamu? kama una jipenda ulitakiwa uanze na hizo story za wew kwenda kupima au kutumia ndom
Ni sawasawa na useme mtu alieshambuliwa na kisu, kwanini hakukimbia asichomwe kisu msubhati angalia pande zote tafadhaliπŸ₯²
 
Nyege hazina mgonjwa wala mzima,umetongoza leo unataka uloweke leo,umepima lini magonjwa ya zinaa?
 
Kifungu kipi cha sura ya 431?
 
Huyo yuko kwenye mtanziko mkubwa na ni kama kachanginyikiwa na ana kisasi moyoni.. Wanaopaswa kuchukua tahadhari ni hao wazima
Hivyo akubaliane na matokea na aanze dozi badala ya kuanza shauri mahakamani
 
Anahitaji msaada wa haraka wa ushauri nasaha
Mi naanza na Ushauri nasaha:
1. Akubaliane na matokeo na sasa awe mtulivu na aishi kwa matumaini.
2. Awe mwangalifu zaidi asisambaze kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…