π hakika wee kaanze kubugia mbaazi tu.Faida ipi mkuu na umeungua? Jukumu la kulinda afya yako ni lako, sio la mtu mwingine.
Inakuaje unashiriki ngono zembe?
Sifahamu sana kuhusu hili ngoja niweke kambi nijifunzeWenye uelewa na wahenga wa jukwaa mlete busara zenu
Binti wa zamani
Bujibuji Simba Nyamaume
Mshana Jr
ShesRise_1
min -me
Mpwa, nafahamu ni kosa ila sheria zake sizijui.Wenye uelewa na wahenga wa jukwaa mlete busara zenu
Binti wa zamani
Bujibuji Simba Nyamaume
Mshana Jr
ShesRise_1
min -me
God forbid