nodetz
Senior Member
- May 4, 2024
- 173
- 156
Habari wana JF, niliweka uzi hapa JF nikawa nimeelezea changamoto yangu kwenye mahusiano.
Nashukuru mlinipa na mnaendelea kunipa maoni ambayo kimsingi yananijenga upya japo kuna jambo jipya limeibuka ndani mwangu nikutokana na maoni yenu lakini pia kuna uzi mwingine nilisoma nikakutana na swala la kuwa na furaha binafsi hisiyotegemea mtu wala vitu.
Sasa swali langu nikua je mtu anawezaje kutengeneza furaha yake mwenyewe binafsi bila kutegemea vitu kama vilevi au watu mfano mwanaume kutegemea kupata furaha kutoka kwa mwanamke au mwanamke kutegemea kutoka kwa mwanaume.
Je kunamtu anaweza kutuelezea hili swala na kama kunaambaye alishafanikiwa kutengeneza furaha ya namna hiyo basi atwambie alifanyeje.
Natanguliza shukulani wana JF