Je, ni kwanini gari namba ‘A’, ‘B’ na ‘C’ zinafufuliwa na kurudishwa barabarani kwa kasi sana mwaka 2024?

Je, ni kwanini gari namba ‘A’, ‘B’ na ‘C’ zinafufuliwa na kurudishwa barabarani kwa kasi sana mwaka 2024?

Magari mapya (na used) tika nje yamepanda sana bei kwa sababu ya kupanda kwa dola. Na shida nyingine ni kwamba ushuru wa TRA pia unakokotolewa kwenye thamani ya gari (CIF) ambayo iko kwa dola. Kwa hiyo kila Dola ikipanda na ushuru nao unaenda juu proportionally.
So kuipenda gari yako ya zamani ni wazo zuri na bei nafuu kuliko kuiuzakwa bei ya kutupa na kuagiza nyingine kwa bei ghali
 
Hahahahah mwenyewe nimepeleka chuma yangu body😁! Jamaa wameona sifa sasa acha biashara ihamie kwenye kununua engine tu ilala. Ikichoka unabadili engine tena.
Mwendo ni huo tu, ni kununua engine tu, tena mswaki, lile block tu, vifaa vingine unahamishia toka engine ya zamani
 
Najiuliza Japan ina magari mengi kiasi gani maana kwa miaka mingi ina feed magari Africa ambako eneo la ardhi ni kubwa kuliko yenyewe ilivyo
Japan population ya watu wazima ni around watu milioni 100, hivyo owners wa magari ni wengi na hawatumii magari kwa muda mrefu kama sisi unakuta gari lina miaka 20 tangu litengenezwe ndiyo mtu analinunua na kusema jipya.
 
Back
Top Bottom