macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mimi ningekuwa na uwezo wa maamuzi ningeamuru ushuru wa mgari uongezwe mara mbili ya wa sasa. Siku hizi mji umevamiwa mpaka na ''wakalamba'' nao wana magari, mbaya zaidi wakinunua gari hujiona wako juu mawinguni wanaruka.Hahahahah kumiliki chuma imekuwa anasa