Je, ni kwanini gari namba ‘A’, ‘B’ na ‘C’ zinafufuliwa na kurudishwa barabarani kwa kasi sana mwaka 2024?

Mimi ningekuwa na uwezo wa maamuzi ningeamuru ushuru wa mgari uongezwe mara mbili ya wa sasa. Siku hizi mji umevamiwa mpaka na ''wakalamba'' nao wana magari, mbaya zaidi wakinunua gari hujiona wako juu mawinguni wanaruka.
Well, hiyo inaweza kusaidia kuongeza ajira kwa mafundi body wa gereji hasa zile za mtaani, maana namba ‘C’ zilizo juu ya mawe zinatisheleza mahitaji yetu ya mwaka mzima.., this migjt actually save us forex and provide job opportunities, its a potentially good move, lets do it!
 
Japan population ya watu wazima ni around watu milioni 100, hivyo owners wa magari ni wengi na hawatumii magari kwa muda mrefu kama sisi unakuta gari lina miaka 20 tangu litengenezwe ndiyo mtu analinunua na kusema jipya.
🙏
 
Mimi ningekuwa na uwezo wa maamuzi ningeamuru ushuru wa mgari uongezwe mara mbili ya wa sasa. Siku hizi mji umevamiwa mpaka na ''wakalamba'' nao wana magari, mbaya zaidi wakinunua gari hujiona wako juu mawinguni wanaruka.
Huo ndo utanzania halisi sasa,dadek roho mbaya ndo zetu
 
Mimi ningekuwa na uwezo wa maamuzi ningeamuru ushuru wa mgari uongezwe mara mbili ya wa sasa. Siku hizi mji umevamiwa mpaka na ''wakalamba'' nao wana magari, mbaya zaidi wakinunua gari hujiona wako juu mawinguni wanaruka.
Una roho ya umasikini
 
Tukisema ni gharama za kuagiza swali linakuja idadi ya waagizaji nayo imeshuka? Namba mpya mbona kama inakimbia mno? Tupo sijui EH.
 
si sawa na ilivyokuwa mwanzo, kwa sasa hata gari za mkononi kwa tz zipo juu, na watu hawauzi magari yao wanayaboresha tu maisha yanaendelea. huu wakati ni wakushika na kutunza sana ulichonacho, gari iliyokuwa ikiuzwa 10.5 - 11m kwa sasa imepanda hadi 18.5 - 20m ( ist, vits, premio ..... )
 
Na kodi inapokuwa kubwa sana inapunguza dhamani ya hela ,maana unatumia hela nyingi kununua vitu au kitu kidogo ( buku 10 unanuna sabuni mche)hela inakuwa haina dhamani. TRA waangalie hili pia,wanaishusha fedha yetu pia dhamani yake, mwisho wa siku watu watakuwa wanaenda na kapu la hela kununua nyanya sokoni,inakuwa kama enzi zile zimbabwe
 
mfumuko wa bei!!!!!
 
Back
Top Bottom