Je, ni kwanini Hamisa Mobetto asiajiriwe kuwa 'air hostess' wa Air Tanzania?

Je, ni kwanini Hamisa Mobetto asiajiriwe kuwa 'air hostess' wa Air Tanzania?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Nadhani hii itapelekea watu ambao hata hawakua na mpango wa kusafiri waaanze kutunga safari za uwongo na ukweli ilimradi tu wamiminiwe chai na Hamisa Mobetto, hii ni strategy ya kibiashara, tuache kuajiri vifutu, mkishindwa sana nendeni hata kule kwa warangi mkafanye vetting. Ila Diamond baba lao aisee.., daah..
56603f61436924a35bbb10394710fe06.jpg

images.jpeg.jpg
 
Inabdi ifahamike hii kitu mtu anaingia darasani na unafanya mtihani na kuna kufeli, embu tuheshimu Profesional za watu bn. kuna vitu vingi vinaangaliwa mkuu zaidi ya urefu na urembo
Hilo la kufundishana tutawapa training tu za kutosha.., ila mtu asiye na mvuto utaenda kumfanyia plastic surgery? Au mtu mfupi unamrefushaje?
 
Nadhani hii itapelekea watu ambao hata hawakua na mpango wa kusafiri waaanze kutunga safari za uwongo na ukweli ilimradi tu wamiminiwe chai na Hamisa Mobetto, hii ni strategy ya kibiashara, tuache kuajiri vifutu, mkishindwa sana nendeni hata kule kwa warangi mkafanye vetting. Ila Diamond baba lao aisee.., daah..
View attachment 1257965
View attachment 1257989
Wanaaajiri watu waliosoma, waliosomea hiyo fani hawaaajiri watu waliosomea umalaya kule Hakuna sehemu ya kujiuzia kule ni Huduma na huyo uliyemtaja amesomea tu Namna Ya Kujiuza naykuwakamua wanaume na kukaaa uchi ndio fani yake mkuu
 
Back
Top Bottom