Je, ni kwanini Hamisa Mobetto asiajiriwe kuwa 'air hostess' wa Air Tanzania?

Je, ni kwanini Hamisa Mobetto asiajiriwe kuwa 'air hostess' wa Air Tanzania?

Na Uwoya??
d51e31b24062075d14c98ddf7bf3fda9.jpg
 
Naamini mamlaka husika wanafuatilia huzi huu na weshaelewa. Ila kuweka picha zao na kuendelea kuwasema si vizuri Mungu ndio muumbaji na mpaji. Mtu anapopanda ndege anategemea kuona kila kitu umo ni kizuri. Nashauri mamlaka husika ingewatafuta mamiss wetu wa miaka ya nyuma ambao kwa sasa wamelost mitaani wawatrain na kuwaongeza katika ajira ili uwepo uwiano. Hakuna mtu atakayelalamika kama akiona miss Iringa au miss Morogoro amekuwa muhudumu wa ndege kusema kuwa hawajuajiri kwa uzuri wa mtu ni kujibu kiutu uzima. Tuangalia mashirika ya wenzetu wahudumu wao wengi ni warembo wahusika ili linavutia wateja msije baadaye mkalalamika watu hawana uzalendo.
 
Nadhani hii itapelekea watu ambao hata hawakua na mpango wa kusafiri waaanze kutunga safari za uwongo na ukweli ilimradi tu wamiminiwe chai na Hamisa Mobetto, hii ni strategy ya kibiashara, tuache kuajiri vifutu, mkishindwa sana nendeni hata kule kwa warangi mkafanye vetting. Ila Diamond baba lao aisee.., daah..
View attachment 1257965
View attachment 1257989
Hawawezi mlipa mshahara wa kumtosheleza kulinganisha na anavyoearn kwenye industry ya kula bata.
Labda ubunifu ufanyike ,kuwe na siku baadhi na zitangazwe ambapo warembo celebrity waserve kwenye ndege safari za Dar-Mby-Dar na Dar -Mwz - Dar.
 
Hivi hamisa ana uzuri gani na ile mishavu yake? ,kuwa serious aiseeeeh
 
waitress,receptionist,air waitless,customer care,bland ambassador n.k hizi ni kazi ambazo muonekano binafsi ni kigezo muhimu sana

tuwe realistic 2 na wala sio unyanyapaa kwny hzi nafasi kigezo cha urembo na mvuto wa wahudumu kizingatiwe km kweli tunahitaji tuingie kwny soko la ushindani!
 
hii ajiri ya wahudumu wandege ingekuwa tu ni ya mkataba 2yrs renewable na kuna cut off age ie 18-25. Tuna wanafunzi wachuo wengi wanamaliza degree aged 22 na ni warembo kwa nini wasipewa course miezi 6 afu waende uko uko wasisubir ajira za kudumu .
 
waitress,receptionist,air waitless,customer care,bland ambassador n.k hizi ni kazi ambazo muonekano binafsi ni kigezo muhimu sana

tuwe realistic 2 na wala sio unyanyapaa kwny hzi nafasi kigezo cha urembo na mvuto wa wahudumu kizingatiwe km kweli tunahitaji tuingie kwny soko la ushindani!
ni kweli kabisa mkuu kuliko kuwekewa mazombi, check fly emirates wahudumu wake walivyo.
 
Ifahamike kwamba biashara yoyote ya hospitality mvuto wa wahudumu ni muhimu ili kuvutia wateja, hili halina mjadala.
Hilo linajulikana.

Lakini ni lazima watumie utaratibu unaofaa kuwapata hao wenye mvuto. Sio kuwa attack kwenye public.

Njia aliyotumia mbunge sio ya kistaarabu. Unadhani hao walioambiwa hawana mvuto wanajisikiaje sasa hivi. We must care other people's feelings.

Hilo la ni suala la kwanza, Jambo la pili ni hili...

Hata neno "mvuto" ni complex. Wewe kama wewe unaudefine vipi mvuto?

Ndio maana wanasema "Beauty lies in the eye of the beholder".

Kuna wengine weusi kwao ndio mvuto while wengine weupe ndio mvuto.Wengine wenye mvuto ni wafupi lakini wengine ni warefu.Wengine wanapenda Slim wengine wenye misambwanda...

Je watumie vigezo vipi kudefine mvuto wa kuwaajiri?
 
Back
Top Bottom