Je, ni kwanini Hamisa Mobetto asiajiriwe kuwa 'air hostess' wa Air Tanzania?

Je, ni kwanini Hamisa Mobetto asiajiriwe kuwa 'air hostess' wa Air Tanzania?

Mimi huwa natubu kabla sijapanda ndege, pia huwa naweka earphones mwanzo had mwisho wa safar inasaidia kunipunguzia tension.
Interesting kwa kweli!!
Inavyo sekemaka (kwa data) Ndege ni usafiri salama zaidi tulio nao duniani ukifatiwa na Meli
Yaani ukiwa kwa basi ndio uji enjoy wakati ni usafiri hatari ukilinganisha na ndege?
 
Back
Top Bottom