Je, ni kwanini Hamisa Mobetto asiajiriwe kuwa 'air hostess' wa Air Tanzania?

Je, ni kwanini Hamisa Mobetto asiajiriwe kuwa 'air hostess' wa Air Tanzania?

Wanaaajiri watu waliosoma, waliosomea hiyo fani hawaaajiri watu waliosomea umalaya kule Hakuna sehemu ya kujiuzia kule ni Huduma na huyo uliyemtaja amesomea tu Namna Ya Kujiuza naykuwakamua wanaume na kukaaa uchi ndio fani yake mkuu
Khaaaaa!!!!Dadadaaaaadeki walahi
 
Wazimu ni wengi, wanatusumbua..
Kweli Elimu ni Ufunguo wa Maisha.
Bora msomi mmoja kuliko wazimu kijiji kizima.
Hamisa Mobeto atakusaidia nini tofauti na kazi yake ya sasa.
Viherehere!
 
Na wema!?
Daah, kweli simba baba lao
1187d427adc5ef73d008cce82f0fc1f3.jpg
 
Nadhani hii itapelekea watu ambao hata hawakua na mpango wa kusafiri waaanze kutunga safari za uwongo na ukweli ilimradi tu wamiminiwe chai na Hamisa Mobetto, hii ni strategy ya kibiashara, tuache kuajiri vifutu, mkishindwa sana nendeni hata kule kwa warangi mkafanye vetting. Ila Diamond baba lao aisee.., daah..
View attachment 1257965
View attachment 1257989

Hana Rangi halisi ya utz ana rangi ya dukani
 
Kuwa Hair Hostess au Air Hostage kunahitaji zaidi ya uzuri.

Elimu, exposure, kujua additional language, sauti nzuri, uwezo wa kuongea au communication skills na umri.

Yule Mbunge hakutaka kusema ukweli. Angeambiwa apeleke ushahidi. Hao wasio na mvuto ni watoto, wajukuu, ndugu wa wakubwa wa serikali na ATCL. Huwezi kukosa vindunje nk.
 
Yule mama aliyesema ma air hostage wana sura mbaya,aliongea hayo naibu spika alikuwa anaongoza mjadala ?
 
Back
Top Bottom