FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Atafanyiwa training, hiyo sio tatizo..Ana taaluma?
Hawa ndio ma hostage wenyewe..haha magu anawaita Air Hostages [emoji28][emoji28][emoji28] dah mzee anayumba sana kwenye lugha
Hilo la kufundishana tutawapa training tu za kutosha.., ila mtu asiye na mvuto utaenda kumfanyia plastic surgery? Au mtu mfupi unamrefushaje?Inabdi ifahamike hii kitu mtu anaingia darasani na unafanya mtihani na kuna kufeli, embu tuheshimu Profesional za watu bn. kuna vitu vingi vinaangaliwa mkuu zaidi ya urefu na urembo
Hata laki 5 kwa siku atafanya tu, hali ngumu, si ticket ya mtu mmoja hiyo kwenda Mumbai?Hao ni watu matawi sana mshahara milion kwa siku. Sasa si shirika litajiendesha kwa hasala!!!
Jamani laki 5??Hata laki 5 kwa siku atafanya tu, hali ngumu, si ticket ya mtu mmoja hiyo kwenda Mumbai?
Kwahiyo tufanye tu watu wote waliopitiwa na baba lao simba waajiriwe, maana yule baharia anapoint balaa..Na wema!?
Kwa mtu kama Hamisa hiyo ni pesa ya lipstick tu, sio ishu kwakeJamani laki 5??
Kwahiyo tufanye tu watu wote waliopitiwa na baba lao simba waajiriwe, maana yule baharia anapoint balaa..
Kwa mtu kama Hamisa hiyo ni pesa ya lipstick tu, sio ishu kwake
Tofauti ni kwamba unasafiri bure kwenda duniani kote, pia mshahara na mazingira ya kazi ni mazuri zaidi.Kwani hiyo kazi inatifauti gani na Bar maid.
Hawa ndio ma hostage wenyewe..
View attachment 1257978
Wanaaajiri watu waliosoma, waliosomea hiyo fani hawaaajiri watu waliosomea umalaya kule Hakuna sehemu ya kujiuzia kule ni Huduma na huyo uliyemtaja amesomea tu Namna Ya Kujiuza naykuwakamua wanaume na kukaaa uchi ndio fani yake mkuuNadhani hii itapelekea watu ambao hata hawakua na mpango wa kusafiri waaanze kutunga safari za uwongo na ukweli ilimradi tu wamiminiwe chai na Hamisa Mobetto, hii ni strategy ya kibiashara, tuache kuajiri vifutu, mkishindwa sana nendeni hata kule kwa warangi mkafanye vetting. Ila Diamond baba lao aisee.., daah..
View attachment 1257965
View attachment 1257989