tusipotoshane
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 730
- 694
Khaaaaa!!!!Dadadaaaaadeki walahiWanaaajiri watu waliosoma, waliosomea hiyo fani hawaaajiri watu waliosomea umalaya kule Hakuna sehemu ya kujiuzia kule ni Huduma na huyo uliyemtaja amesomea tu Namna Ya Kujiuza naykuwakamua wanaume na kukaaa uchi ndio fani yake mkuu
"Professional za watu" hapo kwenye "professional" hapo! Hiv kumbei siyo "profession".Inabdi ifahamike hii kitu mtu anaingia darasani na unafanya mtihani na kuna kufeli, embu tuheshimu Profesional za watu bn. kuna vitu vingi vinaangaliwa mkuu zaidi ya urefu na urembo
Hawa ni wafagizi au miongoni mwa wasafiri?Hawa ndio ma hostage wenyewe..
View attachment 1257978
Nyie watu acheni izo, matafanya watu wajiue.Hawa ndio ma hostage wenyewe..
AhahahahahATCL ndio shirika pekee ambalo kuolifikesheni ya kupata kazi ya u ea hostess lazima ufanane na naibu supika au uwe zaidi yake au sura iwe kama ya mizengwe iliyopinda
Nadhani hii itapelekea watu ambao hata hawakua na mpango wa kusafiri waaanze kutunga safari za uwongo na ukweli ilimradi tu wamiminiwe chai na Hamisa Mobetto, hii ni strategy ya kibiashara, tuache kuajiri vifutu, mkishindwa sana nendeni hata kule kwa warangi mkafanye vetting. Ila Diamond baba lao aisee.., daah..
View attachment 1257965
View attachment 1257989
Kwa mtu kama Hamisa hiyo ni pesa ya lipstick tu, sio ishu kwake
Nyie wa Dar mnisaidie, hawa mnavyokutana mtaani ndivyo wanavyoonekana au kuna kitu kinafanyika. mbona wako soft kama tiles za muitaliano!kweli huko mjini kuna raha zake. Wacha tupambane na mair hostage wetu kama anavyowaita mkuluDaah, kweli simba baba lao
View attachment 1257999
Halafu baadae utakuja kuisifia Air Rwanda kwamba inawahudumu wazuriMe nafata usafiri wenye huduma nzuri sinaga muda na hao wadada.
Kwanza nikiwa kwenye ndege namuwazaga Mungu tu.
Na Uwoya??Na wema!?