Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Mpaka kufika 2023, TZ ilikuwa na wagonjwa wapya wa kansa zaid ya 50K !
Prevalence ya Figo imetoka 7% kuelekea 12, 13, na 14% last update ya 2023. Same as Ini.
Je, tatizo ni nini ?
Kwangu mm nitapenda kujadili point moja tu among the other factors .
Hizo political fame za Janabi za kula kipande cha muhogo ni intimidation tu na hazina tija. the body needs fat, carbohydrate, minerals, proteins, vitamins , water to function properly.
Chanzo kikuu kinaanzia kwenye Mamlaka ya UDHIBITI. TBS, TMDA, Mamlaka udhibiti wa Nyama na mamifugo ya kisasa, mamlaka za kilimo cha kisasa na GMO.
Kwa mfano ( unpublished data) zaidi ya 55% ya pombe za TZ ni fake na zikiwa na sticker fake za TBS. Viwanda bubu vikiwa pwani, kigamboni, Kilimanjaro na Arusha. Pombe fake nyingine zinatokea Kenya, taveta na Namanga; hivyowatu wanakunywa toxic zinazoenda ku temper na Figo, Ini na some ingridients ni Carcinogen.
Ethylene kwa ajili ya kuivisha matunda. TBS ime lose control, concentration na dose inayotumika kuivisha ni kubwa than recommended. Tunda linaingizwa saa 11 alfajiri, saa 12:30 asubuhi linatoka limeiva na kuingizwa masokoni, Je TBS , inayo mechanism ya ku monotor dose za ethylene kwenye matunda ?
Nyama... another area mamlaka zimepoteza control .wanyama wanauliwa wakiwa wagonjwa... wengine wanakuwa na kansa, strong infections , chronic Worms na kuingizwa sokoni.
GMO, mashamabani ndio dili siku hizi. Food system imeharibiwa na mamlaka zipo kusifu tu. Vijana kufa na cancer, figo or ini at their early 30s and 40s ni normal thing now days.
Eneo lingine ni madawa sub standard na fake supplements ( virutubisho) yanayoingia nchini kwa njia za panya.Another poison kwenye medicine system . What a shame !
Tunazuia Bangi tunaruhusu GMOs food system , fake supplements , fake alcohol.....what a shame !
Tatizo kubwa linaanzia kwa Regulatory Authorities, hazifanyi kazi kwa weledi in collaboration with technologies advancement.
Billions of money zinaenda kulipa wasanii, magari ya viongozi, kuwalipa machawa na ignorants wengine. Regulatory Authorities hazina Fund na Capacity za kujiendesha. What a shame.
Uzuri tupo kwenye nyumba moja. Mtafikiwa
Dr Megalodon Mushi, PhD Candidate
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada