Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
- Thread starter
- #41
Homa ya Ini, Uraji wa Pombe kupita kiasi.
Vijana hawataelewa mpaka baada ya miaka 10- 15 ijayo wakivimba matumbo.
Kuna energy drinks ndio balaa
RAs zifanye kazi zao kwa makini na udhibiti bila ya kuingiliwa. RAs ziwe full independentutufafanulie sasa mkuu cross cut point ndo nini
na tunawezaje kuepuka hayo magonjwa ikiwa tunatumia sana bidhaa za viwanda
au unazungumzia kuhusu kupunguza kesi za hayo magonjwa?
Unajua maaana ya full independent ?
Kwa mfano Samia anaingiza Sukari , Mamlaka kwa sababu maalum za usalama, imeona Sukari hazifai kuingizwq….. basi Zirudishwe zilipotoka bila ya kujali ni za nani ! Je hili hapo kwenu inawezekana ?
Kumbuka ww mlaji wa mwisho unanunua what is available on the market ! RA ndio wanaamua kipi kina standard za kuingia sokoni : That Means kama RA zitafanya kazi zao vema, kuna takataka nying zitapungua sokoni hivyo mtanunua vitu standard , mtakaa mbali na hayo magonjwa
Kwa hiyo RA ndio cross cut point ya shida nyingi. Many issues will be solved tukiboresha mamlaka