Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Kumekuwa na hizi tetesi kwa kipindi kirefu sasa. Kuwa wasio na visogo au walio flat kisogoni asilimia kubwa huwa na ubongo wao unakuwa umebonyea kiasi flani hivyo wanakuwa hawana sana akili.
Lakini pia na walio na kichwa ambacho hakina komwe kabisa nao hadi kwenye ubongo nao unaenda unabonyea unaathirika. Haya maneno yamekuwa yakisemwa sana mitaani. Sasa ukimpata mwenye double impact ndo kabisa anaweza akawa hata ni kiongozi lakini utamwona anaongea pumba most of the time.