Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Unataka kusema mtu kuwa na kisogo ndio kuwa na akili? Adee waafrika tunasafari ndefuKumekuwa na hizi tetesi kwa kipindi kirefu sasa. Kuwa wasio na visogo au walio flat kisogoni asilimia kubwa huwa na ubongo wao unakuwa umebonyea kiasi flani hivyo wanakuwa hawana sana akili.
Lakini pia na walio na kichwa ambacho hakina komwe kabisa nao hadi kwenye ubongo nao unaenda unabonyea unaathirika. Haya maneno yamekuwa yakisemwa sana mitaani. Sasa ukimpata mwenye double impact ndo kabisa anaweza akawa hata ni kiongozi lakini utamwona anaongea pumba most of the time.
Unataka kusema mtu kuwa na kisogo ndio kuwa na akili? Adee waafrika tunasafari ndefu
Mambo mengine sio ya kuyaamini mkuu
Cc.Chai ya amiraKumekuwa na hizi tetesi kwa kipindi kirefu sasa. Kuwa wasio na visogo au walio flat kisogoni asilimia kubwa huwa na ubongo wao unakuwa umebonyea kiasi flani hivyo wanakuwa hawana sana akili.
Lakini pia na walio na kichwa ambacho hakina komwe kabisa nao hadi kwenye ubongo nao unaenda unabonyea unaathirika. Haya maneno yamekuwa yakisemwa sana mitaani. Sasa ukimpata mwenye double impact ndo kabisa anaweza akawa hata ni kiongozi lakini utamwona anaongea pumba most of the time.
Tuwie radhi mkuu 😅Kumekuwa na hizi tetesi kwa kipindi kirefu sasa. Kuwa wasio na visogo au walio flat kisogoni asilimia kubwa huwa na ubongo wao unakuwa umebonyea kiasi flani hivyo wanakuwa hawana sana akili.
Lakini pia na walio na kichwa ambacho hakina komwe kabisa nao hadi kwenye ubongo nao unaenda unabonyea unaathirika. Haya maneno yamekuwa yakisemwa sana mitaani. Sasa ukimpata mwenye double impact ndo kabisa anaweza akawa hata ni kiongozi lakini utamwona anaongea pumba most of the time.
Cc.Chai ya amira