D
DeletedMember281674
Guest
Kwanza nianze kumpongeza Askofu Gwajima, ukimsikiliza kwenye YouTube akiwa Kanisani kwake leo tarehe 04 June 2026, amempa makavu Boss wa Wasiojulikana Kwamba Hampati.
Hii Ina maana Boss huyo kamnyoshea mikono juu Askofu Gwajima Kwamba mwamba ni Jasusi wa Mbinguni hakuna anayeweza kumfanya chochote.
Miezi kadhaa nyuma tulimsikia Namba 3 akiagiza Kwamba Namba 1 ametoka maelekezo kwa PT waache kumtafuta Askofu Gwajima.
Je, Boss yule yule kabadilisha gear hewani??? Au kamnyoshea mikono Askofu Gwajima?