Je, ni kweli Boss wa Wasiojulikana kamnyoshea mikono juu Askofu Gwajima?

Je, ni kweli Boss wa Wasiojulikana kamnyoshea mikono juu Askofu Gwajima?

Kwanza nianze kumpongeza Askofu Gwajima, ukimsikiliza kwenye YouTube akiwa Kanisani kwake leo tarehe 04 June 2026, amempa makavu Boss wa Wasiojulikana Kwamba Hampati.

Hii Ina maana Boss huyo kamnyoshea mikono juu Askofu Gwajima Kwamba mwamba ni Jasusi wa Mbinguni hakuna anayeweza kumfanya chochote.

Miezi kadhaa nyuma tulimsikia Namba 3 akiagiza Kwamba Namba 1 ametoka maelekezo kwa PT waache kumtafuta Askofu Gwajima.

Je, Boss yule yule kabadilisha gear hewani??? Au kamnyoshea mikono Askofu Gwajima?
Baada ya hii kauri Makofi yalipigwa sana na kilichofuata ni kupitisha kapu na likajaa pomoni.

Wajinga ndio waliwao.
 
Gwajima akamatwe na nani wakati ni mwanamikikati nguli, jasusu, kachero lililobobea linalotumia jukwa la dini kuhadaa watu kwa kuhamisha mijadala mizito nchini. Yule yuko kazini kama kawa, ni chombo cha dola hakuna wa kumkamata
 
Kumbee !
Mmmmh! 😳 !
 
Hivi hata kwa akili za kawaida kabisa ccm itake kukupoteza tena ukiwa ndani ya nchi hii ikushindwe ?
Watz tunachezewa sinema.
Wanacheza hawa.
Kifupi hapa Afrika Mashariki usikae na ukikaa usigusane na simu kabisa.

Tapeli Muuza kopa aliyejificha uganda akitumbua Bilioni yake kafatwa na katuishwa nchini ananyea Debe.
 
Gwajima kanisa lake wakati linafungwa yeye alikuwa wapi , alishakimbia na polisi walipewa order wasimtafute ndipo alikuja kujitokea . Hizo porojo ni kuwadanganya wagalatia , ili kuendelea kupiga sadaka .

Hata Polepole alikuwa mafichoni walipompoteza. That time kama asingepotea Wahuni wangemalozana naye. Kiburi chao kilikuwa kimefikia Maximum.... MO29 imesaidia sana kunutralize mambo.
 
Back
Top Bottom